Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,642
- 18,643
middle east atakujibu mkuu...Ajabu wanaotunga na wanao produce ni wanaume. Kuimba ndio wote pia. Sasa kwanini wakiume wasisikilize?
middle east atakujibu mkuu...Ajabu wanaotunga na wanao produce ni wanaume. Kuimba ndio wote pia. Sasa kwanini wakiume wasisikilize?
hebu acheni kupangia watu maisha!! kila mtu na hobby yake!! after all hata ukimtilia mtu mashaka humpunguzii wala kumuongezea chochoteMtoto wa kiume kusikiliza taarabu ntakuwa nina mashaka na ww
She is My Valentine.Kuna wimbo wake mmoja unaitwa "My Valentine" ni funga kazi bomba za song yaani sichoki kuusikiliza.
Ukitaka tende , halua chukuaaaayenzela kula raha za dunia,miye nikiusikia wa daktari wa mapenzi,hasa pale anaposema "helua helua heluaa" moyo wangu unatiririkaa!
Hatimaye sasa kimeeleweka.princess ariana we acha tu,na mbaya zaidi alivyoacha taarabu,na mziki wote wa mwambao ukakosa radha!
Angeachia hata kawimbo kamoja atuage mashabiki zake.
Hii Arosto itaniua.
Ukitaka tende , halua chukuaaaa
Helua, heluaa
Lakini moyoni unaniua
Helua, heluaaaaa
Kushney babu G.Nehi nehi babu jiiii...juma juma dedeee!!
Hana mpinzani.Asee jamaa alikuwa fundi sana sema kuacha taarabu ndo kumeumaliza huo mziki hapa Tz.
Ha ha hampenda arage we acha tu,sijui mashabiki zake "tumteke" na Noah,kisha tumsafirishe mpaka studio arekodi kwa nguvu?
Nimemiss mishangazi ya haja
Weka mbali na watoto.
Nina NYIMBO zake tatu nazipend sanWeka mbali na watoto.
Zipi hizoNina NYIMBO zake tatu nazipend san
Tukutane Dar Live Idd Mosi baada ya kushiba pilau-mbuzi,, mishangazi ya kumwaga na midera yaoNina NYIMBO zake tatu nazipend san
Dah hatarTukutane Dar Live Idd Mosi baada ya kushiba pilau-mbuzi,, mishangazi ya kumwaga na midera yao
HiziZipi hizo