Kama umekula mishikaki ya miamia Dar jua umekula mbwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama umekula mishikaki ya miamia Dar jua umekula mbwa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Malumbizo, Feb 7, 2012.

 1. M

  Malumbizo Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ebu fikiria wale mbwa wanaogongwa na magari Dar huwa wanapotea baada ya dakika chache unadhan wanaenda wap kama siyo ile mishkak tunayouziwa miamia
   
 2. L

  Luluka JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  We utakulaje mishkaki kwa shilingi mia wakati nyama yenyewe kilo ni elfu6!ukipenda vya rahisi hata nyama ya nyau utakula tu.
   
 3. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mimi ndio nagonga hapa Buguruni wala sio ya Mbwa bali ni Ng'ombe, sema wabongo wanapenda sana vitu vya bei kubwa wakati huku uswahilini watu wanabuni biashara zinazolingana na kipato.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Nimekula sana pale koko beach +mihogo + kabich khaaaaaa kumbe mbwa? Khaaa lkn mitamu
   
 5. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 803
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Tumekuchoroboka na tabilibia yalabako!!
   
 6. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mishkaki ya mbwa ndo mitamu na chachandu.....nyama nyama tu...ya mbwa....nyama
   
 7. sister

  sister JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,028
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  duh hicho ni kilugha au kiswahili? ila ujumbe umefika ingawa kwa shida sana.
   
 8. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mi nakula sana pale buguruni na livingstone. nakula urojo na mishikaki kumi, mayai mawili na maji lita moja kisha naendelea na safari. ile mishikaki inaondoa hangover kinoumer. naipenda sana.
   
Loading...