Hata km ni tool box hutu jamaa hafananii km fundi wa ndegePicha ya mwisho wako wawili, huenda ni toolbox mkuu
Duh haya mambo yataisha lini natumai mamlaka husika itachukua hatua kali za kisheria hata bila Mwenye Mizigo kutoa malalamiko na inaonekana wote hapo wanajua kinacho endelea wachunguzweLabda nimemfikiria vibaya, lakini alitoa mzigo(hicho kiboxi cheupe) akafungua akatoa kitu na kurudisha mzigo ndani ya ndege, wakati ikiwa inashusha mizigo ya Mwanza ili iruke tena iende Bukoba
Nilipiga picha na kuituma JF.
Je wewe ni Mfanyakazi WA airport? Abiria au askari kanzu?Labda nimemfikiria vibaya, lakini alitoa mzigo(hicho kiboxi cheupe) akafungua akatoa kitu na kurudisha mzigo ndani ya ndege, wakati ikiwa inashusha mizigo ya Mwanza ili iruke tena iende Bukoba
View attachment 1018624View attachment 1018625View attachment 1018626View attachment 1018627
Kumbe hawa ndio wanachomoaga parcel zetu then tunaambiwa mzigo umepotea in transit!!!Je wewe ni Mfanyakazi WA airport? Abiria au askari kanzu?
Nini lengo lako kuchafua shirika letu?Ulipo piga picha kwanini usinge toa taarifa kwa vyombo husika pale airport?
Kuja JF inaonyesha wewe ni MTU WA udaku monkey head
Jibu hoja wewe zuzuKumbe hawa ndio wanachomoaga parcel zetu then tunaambiwa mzigo umepotea in transit!!!