Kama umeibiwa kitu leo kwenye bombadier Dar-Bukoba, mwizi wako ni huyu

SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
378
435
Labda nimemfikiria vibaya, lakini alitoa mzigo(hicho kiboxi cheupe) akafungua akatoa kitu na kurudisha mzigo ndani ya ndege, wakati ikiwa inashusha mizigo ya Mwanza ili iruke tena iende Bukoba

F3C3CC54-5E42-4025-9729-AC19ADFAEF0C.jpeg
DE095561-BB08-4B38-BF8D-F166D2FAD1FB.jpeg
E2EBF789-D1D8-4389-B7CF-26D94A4E8CED.jpeg
B8C0A3D0-21C4-42F5-9B65-9660BF0ED25C.jpeg
 
Hao wote wafukuzwe kazi na kuchunguzwa mtandao wao wasekwe ndani.. wenzake nao wanajua kinachoendelea

Wanashirikiana lazima na haswa labda wale wanao skani huko kwa airport zingine. Iweje huo tu?

Hata wale wanaopagia mizigo ya abiria kupeleka kwenye ndege baada ya check-in nao wanatenda watu pale..

Ila Airport ya Mwanza bado naona inatia aibu..kwa mengi..

Mimi nikiwa mteja wao.. duh!!!
 
Labda nimemfikiria vibaya, lakini alitoa mzigo(hicho kiboxi cheupe) akafungua akatoa kitu na kurudisha mzigo ndani ya ndege, wakati ikiwa inashusha mizigo ya Mwanza ili iruke tena iende Bukoba
Duh haya mambo yataisha lini natumai mamlaka husika itachukua hatua kali za kisheria hata bila Mwenye Mizigo kutoa malalamiko na inaonekana wote hapo wanajua kinacho endelea wachunguzwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mamlaka zisisubiri mpaka Malalamiko, mteja mwingine anapoteza kitu, kwa namna anavyojua Utendaji wa Taasisi zetu, anafikiri hata akienda Ku report atakutana na maneno ya kukatisha tamaa na akapoteza muda bure....

Wanaweza kufanya uchunguzi kuanzia na hii picha then wakaomba kama kuna Abiria alipoteza chochote aende ofisini kwao then hatua zingine zifatwe!
 
Umefanya poa Mkuu,lakin jitahid kwenye maisha yako kufata mambo yako, achana na mambo ya watu hasa kama hayaingiliani na wewe
Bila shaka ile ni Security Box na huwa inatumika kubeba mizigo midogo inayotumwa na mtu ambae hasafiri mfano bahasha, inatumika kuwekea silaha pia. Na kila ndege itapotua ni lazima ifunguliwe kuangalia kama kuna kinachopaswa kushushwa na kama kipo kinashushwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda nimemfikiria vibaya, lakini alitoa mzigo(hicho kiboxi cheupe) akafungua akatoa kitu na kurudisha mzigo ndani ya ndege, wakati ikiwa inashusha mizigo ya Mwanza ili iruke tena iende Bukoba

View attachment 1018624View attachment 1018625View attachment 1018626View attachment 1018627
Je wewe ni Mfanyakazi WA airport? Abiria au askari kanzu?

Nini lengo lako kuchafua shirika letu?Ulipo piga picha kwanini usinge toa taarifa kwa vyombo husika pale airport?

Kuja JF inaonyesha wewe ni MTU WA udaku monkey head
 
Kumbe hawa ndio wanachomoaga parcel zetu then tunaambiwa mzigo umepotea in transit!!!
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom