Kama umechaguliwa Ndanda Boys soma hapa

Jun 21, 2016
19
37
NDANDA BOYS HIGH SCHOOL
1.Advance only
2.Location ipo mkoa wa mtwara,wilaya-Masasi,kata-Mwena.
3.Ni shule nzuri kimiundombinu ya majengo,saman, n.k
4.Huduma ya maji Uhakika,umeme TANESCO + Solar power so fulltime.
5.Kuna walimu 37,registered,na watempo wapo.
6.Kuna tahasusi(wengne wanaita komb) tisa,that is CBG,EGM,HGE,HGK,HGL,HKL,PCB,PCM & PGM
7.Miradi ya shule Shama ekari 20(wakulima wanafunzi) na wana mpango wa kuongeza mwaka huu.,mrad wa kuku na ng'ombe,saloon,duka la shule,tailoring centre na Cantin(mkahawa/mgahawa).
8.SIMU NI MWIKO,Mkuu wa shule MR.MONGATE NI MKALI KWELIKWELI ON THAT.
9.Uniform surual rang dam ya mzee,viatu vyeusi.
10.Kuna barid kdogo.
Nadhani yanaweza kuwasaidio.
11.Msos wali j5 & j2,kande jmaa & j3,kuna mabweni ya kutosha(4) 1 amongst has two floor,wanaita ghorofa,usikae juu kuna baridi.
Yatawapa mwnga kdogo.
 
Ndanda mwaka gani wewe mkuu nilikuwa pale 2009-2011

Kitambo sana... mambo ya Lizangati na maembe Ng'ong'o

Mlinga then Lulukila, kitambo sana aisee.

Enzi za headmaster Lulukila simu ilikuwa free.. kweli Ndanda imebadilika.. siku hizi mnalima.. safi sana
Hahaha nendeni mkachukue watoto zenu mwena kule sasa watakuwa washakuwa wakubwa... Nilikuwa pale 2007 enzi za Millinga simu ilikuwa free, hakuna kulima, vuta hata miezi hakuna atakayekubudhi
 
Ndanda almarufu NDABO BOYS....ama OPEN UNIVERSITY.....ila lulukila alikuwa mjanja wa maneno sana.....Umesahau kuwambia kuwa kuna TOP LAYER na COBWEB security........Umeme ukikata waende ABASIA .........Ndanda hadi raha......
 
Wazee wa mwena... Madeko... Kiwanja chetu cha starehe vila park.... Mpowolaaa
 
Pia waendelezee urafiki wetu na Masasi Girls,.....Sisi tuliacha Mambo tafarani..... mahafali yetu tulifata ving'amuzi MTWARA GIRLS....sifaham hali sasa ipoje Ndabo na Msasi Girls
 
Vichwa muhimu... Pale kuna babu anaitwa mkalawile... Wale wa kiswahili watakutana nae huyu
 
Hii shule ovyo kabisa matokeo ya form 6.

Nashauri bora kwenda Private kuliko huko.

Pia wana ushirikina sana
 
Hii shule ovyo kabisa matokeo ya form 6.

Nashauri bora kwenda Private kuliko huko.

Pia wana ushirikina sana
Acha uwongo wewe.... Umesoma huko?... Ndanda kuna ushirikina gani?... Mi nimesoma huko miaka miwili cjawahi shuhudia tukio hata moja la ushirikina... Kuhusu matokeo inaangalika na mtoto wako... Ss mwaka wetu tulikuwa karibia 150.... Zikatoka zero sita tuu... Acha uwongo
 
Hii shule ovyo kabisa matokeo ya form 6.

Nashauri bora kwenda Private kuliko huko.

Pia wana ushirikina sana
Nmesoma Ndanda na nimefaulu vizuri tu.
mazingira ya kusoma yako poa Headmaster yuko poa ukitaka kufeli utake ww
mwaka wetu fail nne Kati ya 421
four zilikua 43 tyu
Hii shule ovyo kabisa matokeo ya form 6.

Nashauri bora kwenda Private kuliko huko.

Pia wana ushirikina sana
 
Acha uwongo wewe.... Umesoma huko?... Ndanda kuna ushirikina gani?... Mi nimesoma huko miaka miwili cjawahi shuhudia tukio hata moja la ushirikina... Kuhusu matokeo inaangalika na mtoto wako... Ss mwaka wetu tulikuwa karibia 150.... Zikatoka zero sita tuu... Acha uwongo
dogo anaogopa kurongwa wakati kuna wengne waliokosa nafasi ya kuchaguliwa kidato cha tano yeye anataka kuchezea chance duuuh dogo anazingua.
 
Back
Top Bottom