Kama umeamka na afya njema kumbuka kumshukuru Mwenyezi Mungu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
1113628



Nimeiangalia hii picha, huyu mzee si sjabu hajawahi kuvaa viatu maisha ni mwake. Anaishi na kutembelea nyayo alizo unbwa nazo.

Tangu unezaliwa ni pair ngapi za viatu ulizichakaza lakini miguu yako bado iko imara.
 
Nimewaza hivi Mrisho mpoto nyayo zake zipo kama hivi maana nae havai Viatu.
 
Back
Top Bottom