kama umeajiriwa miaka hii sehemu yoyote.. usiringie ajira yako au cheo... kupoteza kazi ni rahisi sa

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,848
6,177
habari wadau..

miaka ya zamani tulikuwa tunaringia ajira... zile za unajua mimi nani?

mimi nipo tra sijui tpa... mimi bosi tanesco...

miaka hii sio ya kuringa.. kina dangote peke yao na kina home shopping ndio walinge sababu wamejiajiri..

maana dakika mbili tu umetimuliwa
 
Back
Top Bottom