Nawasalimu wana JF,
naamini kwenye jamii zetu tuna wagunduzi wengi wa vitu vipya kwa upande wa teknolojia ila shida ambayo imekuwa kikwazo kikubwa , ni hayo mawazo yamekuwa yakikumbana na vikwazo wakati wakuyatekeleza pamoja na vikwazo kedekede ikiwemo kukosa mtaji. Fedha za utafiti, wataalam wa kushauri ( mentor), government support , private institution support na mengine mengi Tatizo kubwa ambalo Leo naliongelea ni WIZI WA PROJECT ZA WATU, hili ni tatizo kuliko matatizo mengine yote , najua kuna wengi wamewahi kuibiwa project , na wanaziona zinawanufaishs wezi waliotumia udhaifu wako kuiba project yako sasa , Mimi pia ni mhanga ila baada ya kuibiwa project yangu miaka 5 iliyopita , project iliyo nipa majina makubwa pindi naipresent kwa taasisi flani flan na kwa wakuu maana waliniita bilionea , Mara co , Mara mtaalam , mara innovator , na maji ya kunywa walinipa ya Kilimanjaro pindi na wapresentia kumbe ilikuwa mbinu ya kuimendea.
Najua kuna mtu anasema hukujua jambo la hatimiliki (copyright/patent) nikwambie , kwenye technology innovation ni pagumu unaeza ukawa na (copyright/patent) na bado ukaibiwa tena vibaya mno that's y unaona marekani na China wapo na vita ya copyright za innovation zao, sasa niende kwenye point ya msingi , kama wewe uliwahi kuibiwa project yoyote na unauhakika inafanya kazi sehemu hiyo ulipo ipresent yaani mpaka Leo wanaitumia na unaevidence kuwa uliwapresentia.
Wakapita nyuma wakaiganya na kukupotezea , Leo una 80% ya kuikomboa project yako unaposoma Uzi huu , ila hats evidence kama hauna ila unawanaojua kuwa project hiyo inayotumiwa na wezi wakubwa hapo ni yakwako una 85% ya kuikomboa project yako, misho hata kama una evidence na watu wanaojua ila unauhakika uliwapresentia wakaiba project yako na inatumika mpaka Leo una 50% ya kuikomboa project yako Leo, sasa jiandae ,weka comments zako hapa subiri niprize kipenga lazima watu wapate haki zao tuna matajiri wanao nufaika na mawazo/ ugunduzi wa watu na watu wapo tu wanalia njaa.
Suluhu ya tatizo hilo imepatikana ,
ANGALIZO
usiandike project yako hapa iliyoibiwa na usitaje jina la aliyekuibia project , ukitaja umeua mchakato Japo najua wapo wezi wakipita lazima wajifanye hawajasoma angalizo langu, anyway , this battle is to be won .
2021 vita inaendelea