Kama ulishawahi kutorokwa na Mwanamke na ameshakula vyako tujuane

Kuna baamedi fulani hapa Mwanza alikula laga zangu za kutosha na wakati anafunga baa nikamsidia kuingiza viti lakini mwisho wa siku aliniachia manyoya yaani nilibunda hapo kumsubiri mpaka mlinzi akaniuliza kuwa kama na mimi ni mlinzi mpya wa baa hiyo.
Ila nilimtokezea siku nyingine alilipa laga zote.
😂😂😂
 
Kuna baamedi fulani hapa Mwanza alikula laga zangu za kutosha na wakati anafunga baa nikamsidia kuingiza viti lakini mwisho wa siku aliniachia manyoya yaani nilibunda hapo kumsubiri mpaka mlinzi akaniuliza kuwa kama na mimi ni mlinzi mpya wa baa hiyo.
Ila nilimtokezea siku nyingine alilipa laga zote.
Respect...
 
2007 Mwanza hyo wakati ndio Villa Park Resort imefunguliwa, kulikuwa na malaya wa kutosha kutoka mikoa mbalimbali inayozunguka kanda ya ziwa.

Jumamosi hiyo paaaap nikakutana uso kwa uso na mrembi Hadija (sio jina lake) akaniambia yeye anatoka Shinyanga, PISI KALI SANA KUTOKA SAYARI ZA MBALI HUKO, mtoto akaelewa mistari yangu tukaanza kupiga bia na misosi.

Kwenye saa 6 au 7 hivi ukazuka ugomvi huko maeneo ya getini, watu wamefumaniana, ghafla na yeye akachomoka kwa kasi kukimbilia vyooni, mi nikastukia mchezo nikaanza kumfuatilia kwa kutokea geti la mbele kisha nikazunguka kule nyuma, nikamkuta anakodi Taxi ili asepe, anaingilia mlango wa kushoto mi nikaingia wa kulia.......ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaa........Hadija bana eti akanidanganya ile fujo pale getini alikuwa ni mume wake kaja kumfumania, nilicheka sana, nikamshusha tukarudi pale pale na tukamkuta yule jamaa aliyeanzisha varangati wala hana time na sisi.
ilikuwaje mkuu ulifanikiwa kula mzigo ?
 
Kuna baamed nilimnunulia bia kibao kwa ahadi kuwa leo mpaka mornie mechi inapigwa, imefika saa 5 nakuta mtu haonekani,, niliporudi kesho yake sikujali anahudumia wateja wala nn nilimbeba mzimamzima mpaka uwanjani na mechi ikapigwa bila maandalizi
 
Kipindi icho nilienda dar kumsalimia bro, kuna siku bro akanambia anaingia night shift. Wakati nipo mkoa nilikua naskia uzuri wa malaya wa dar. Nikasema hii ndio nafasi ya kuwaonja hawa watoto wa mjini.

Nikaenda maeneo flani ya buguruni sheli pale, kwakweli nilikuta watoto wazuri sanaaa. Basi nikajichagulia mmoja mzuri balaa, tukaanza kula bia na nyama choma taratibu.

Wakati huo mtoto ananipanga kwamba atanipa vitu adimu sijawahi pewa mixer na mtandao pendwa atanipa.

Basi zikapigwa sana bia. Baadae akanambia niazime 10k nikamlipe bodaboda ananidai. Nikaona sio kesi sababu tulikubaliana 20k show usiku mzima, nikampa.

Nilisubiri sana baada ya kuondoka, hadi bar ikafungwa ikabidi niondoke zangu tu.
 
Yaani kwa mabaharia kukimbiwa na Hawa mademu hasa wa bar ni kawaida mbona ata Simba anapigwaga swala Mimi aliniambiana nikajisaidie kumbe Kuna mdau katoa dau ndefu zaidi bar za Zanzibar mademu wa bar ni wachache karibu 30000 ilinitoka niliumia Sana Bora ningepiga nyeto kesho yake nikaenda eti niliumwa gafla wakati mshikaji wangu ndo alienda na nilimpiga chupa na nilikua nimelewa nikajikuta naghalamia matibabu laki na nusu ila nae Ana kovu usoni mpaka Leo maana wali mshona nyuzi tano
 
Unamjua huyo?
Ilikuwaje
IMG-20201111-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom