Kama ulishawahi kutorokwa na Mwanamke na ameshakula vyako tujuane

Mimi nilikuwa na manzi nimemuokota uko duniani sema alikkuwa na uzuri wake sura ya upole mtulivu anaongea maneno mazuri bhasi kijana nikajua hapa nimelamba joka nikampa mtoto bia nyingi sanaa msosi mzuri sana chakushangaza anapiga na halewi. Mimi bia ya kumi na mbili naona kichwa kikibwa kinapoteza fahamu na kichwa kidogo kinadai.

Basi mtoto akaniambia naomba elfu kumi nilipie boda nimeagiza nguo zakubadilisha mana siwezi toka kwako na izi nikamgeo mtoto mi nimekaa naendelea kupiga vitu namsubiria naona kweusi kumbe mtoto ashatetema daaah nilijiona boya sanaaa nikaenda tu kulala ma maumivu yote mawili.
mkuu ulishindwa jaza watu useme amekunywa sumu? :D :D :D
 
Kipindi icho nilienda dar kumsalimia bro, kuna siku bro akanambia anaingia night shift. Wakati nipo mkoa nilikua naskia uzuri wa malaya wa dar. Nikasema hii ndio nafasi ya kuwaonja hawa watoto wa mjini.

Nikaenda maeneo flani ya buguruni sheli pale, kwakweli nilikuta watoto wazuri sanaaa. Basi nikajichagulia mmoja mzuri balaa, tukaanza kula bia na nyama choma taratibu.

Wakati huo mtoto ananipanga kwamba atanipa vitu adimu sijawahi pewa mixer na mtandao pendwa atanipa.

Basi zikapigwa sana bia. Baadae akanambia niazime 10k nikamlipe bodaboda ananidai. Nikaona sio kesi sababu tulikubaliana 20k show usiku mzima, nikampa.

Nilisubiri sana baada ya kuondoka, hadi bar ikafungwa ikabidi niondoke zangu tu.
Karibu mjini mkuu !! Unaingiaje kingi kizembe namna hiyo !!! Alafu bugurun hamna Malaya wazuri, wale Ni cheeper, Sana ! Choma na bia ulijipendekeza tu !!!

Anyways ulikaribishwa vzr mjini
 
Back
Top Bottom