Kama ulishawahi kufanya haya mbele ya mpenzi wako basi wewe ni jini

Actually hayo ni mambo unaweza yafanya wakati relationship yenu iko at the peak. yaani unamjua na yeye anakuajua na mnaaminiana ile mpaka basi. hayo ni mambo basic sana at that stage.
 
kawaida tu mm mkewangu anajua hadi ratiba yangu ya kunya ni saa ngap na ngapi kwa siku
inafika hatua tukitaka kwnda kuoga wote ananiambia kanye kwanza halafu nakuja nahisi leo mikimba yako inanuka
sasa nyie vijana wa siku hizi mtaweza kudumu ktk ndoa km ndo hvyo je akiumwa mwenzio kilakitu hapohapo si utamkimbia

me nakata gogo na namwambia nichotee maji nitawaze ananipa kopo najiswafi tunakoga tunalala
mkipendana mkazoeana mambo ya kawaida tu haswa kwq sisi wa choo ndani na tuliooa ni jambo la kawaida tu
sasa mtu mnanyoana mavuzi mpk yale ya kata mavi sembuse hayo ya kawaida tu
 
kawaida tu mm mkewangu anajua hadi ratiba yangu ya kunya ni saa ngap na ngaupi
inafika hatua tukitaka kwnda kuoga wote ananiambia kanye kwanza halafu nakuja nahisi leo mikimba yako inanuka
sijui nyie vijana wa siku hizi mtaweza kudumu ktk ndoa km ndo hvyo

me nakata gogo na namwambia nichotee maji nitawaze ananipa kopo najiswafi tunakoga tunalala
mkipendana mkazoeana mambo ya kawaida tu haswa kwq sisi wa choo ndani na tuliooa ni jambo la kawaida tu
sasa mtu mnanyoana mavuzi mpk yale ya kata mavi sembuse hayo ya kawaida tu
Ikitokea mkaachana una haki kuchanganyikiwa!..
 
Kuna kipindi nilikuwa naumwa hadi kutembea ilikuwa tabu na nilikuwa mbali sana na nyumbani

My baby alikuwa ananikongoja hadi toilet,anafanya hiyo namba moja na mbili ananirudisha

Nafikiri ni kawaida
Natumai bado upo nae
 
ushawahi kuwa na demu kisha wakati unashusha akakutia Dole kwenye Ndogo?
Basi Huyo Manzi ni Popobawa :D
 
Back
Top Bottom