Kama ulipata ujumbe huu kwenye simu na ukaufanyia kazi, USILALAMIKE kwa maamuzi yako! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama ulipata ujumbe huu kwenye simu na ukaufanyia kazi, USILALAMIKE kwa maamuzi yako!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mfalme Daud, Oct 4, 2012.

 1. Mfalme Daud

  Mfalme Daud Senior Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  HUU NI UCHAGUZ wa mwaka 2010. Nilitumiwa kwenye simu yangu!?
   
 2. Mhindih

  Mhindih JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Hahahaha liwalo na liwe
   
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 15,163
  Likes Received: 5,297
  Trophy Points: 280
  mi nilipigiwa na kuambiwa maneno hayo!!niliivunja simu mara moja!
   
 4. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,721
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mi nilipigiwa simu nikasikia ujumbe huo nadhani ulikuwa recoded
   
 5. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,785
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Niliupata lakini nikampuuza mtuma ujumbe.

  Babu yangu alimpuuza sana mtuma ujumbe. Na kwenye kura, hakumpigia mgombea yoyote wa CCM.
   
 6. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,834
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Amejitahidi sana kikwete kutekeleza ahadi zake mfano amejenga madaraja makubwa sana yanayounganisha pande za nchi yetu,kaendelea kujenga barabara,shule za sekondari pamoja navyuo vikuu
   
 7. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kama amejenga vyuo, mbona wewe hujaelimika?
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,394
  Likes Received: 1,550
  Trophy Points: 280
  Nape anakusubiri ukachukue posho yako kwa huu uharo.
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,394
  Likes Received: 1,550
  Trophy Points: 280
  Elimu na Ilim vina tofauti?
   
Loading...