MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,478
- 20,390
Mabeberu hoi, yalitaka watanzania waendelee kupikia kuni halafu baadae waje na kamera zao kuonesha ni jinsi gani Afrika ilivyo maskini mpaka karne hii kuna watu wanapikia kuni.
Serikali ya Jamhuri ya Tanzania imekabidhi rasmi eneo la mradi kwa kampuni ya Arab contractors ikiwa ni kiashirio rasmi cha kuanza ujenzi kwa mradi wa uzalishaji wa umeme.
Mradi huu kamwe hautashindikana sababu Ujerumani hawautaki wala wanamazingira ambao wanashindwa kuelewa bila chanzo cha uhakika cha nishati basi Tanzania itaendelea kupoteza idadi kubwa ya misitu kila siku