Kama ulikuwa hujui hizi ndiyo njia kuu tatu alizokupa Mungu kwa ajili ya kufanikisha maisha yako

Baba utam

Member
Aug 28, 2020
37
20
Heshima nashukrani nikwake yeye aliye tupa juzi yetu Jana yetu na Leo yetu. tusichoke kumwomba atimize matakwa yake kwetu kama vile atakavyo tuwe natuwe hivyo.

Heshima pia kwenu ndugu zangu wana jf kwakuwa watu wenye mchango mkubwa saana kwa inchi yetu na jamii yetu kwa ujumla.

Wakuu nimefanya kautafiti midogo kuhusu maisha yetu na halizetu nikaona hapana majibu yake sipaswi kuyafaidi mwenyewe.acha niwashilikishe na ndugu zangu kama kuta kuwa namapungufu turekebishane.wakuu ñimefikilia kwamda mlefu kuhusu ugum wa haya maisha yetu tunayo pitia.

Kutafuta nini tumefichwa kuhusu maisha? nikagundua mungu hakutuleta vitani ili tushindwe ametuleta ili tushinde. na ametupa na siraha tatu mhim ambazo tukizi fanyia kazi hakuna maisha magum kwetu tena.

Wakuu zifuatazo ninjia kuu tatu alizo tupa mungu kwa ajili ya kufanikisha maisha yetu.

1. KIPAJI
..MF mzki,mpila,ufud.nk kupitia kipaji unaweza kuwa diamond,Bob Marley, ronardo,ronadinyo,mess nk ndugu jitafute unakipaji gani

2. ELIMU. Kupitia elimu unaweza kuwa mwalimu, professor, doctor,mshauri nk

3. MTINDO. Hii nitaielezea kidogo njia hii naifananisha naile style yakupigana inayoitwa street fighting style. kwawale wapiganaji wa ngumi wanaijua hii style hapa haijarish utatumia jiwe, manati,fimbo,meno,chamsingi hapa ushinde adui akae. naifananisha hii style na jalala hapa unawezakuwa mpigaji,tapeli,dereva,konda,wazee wa vieti fek,wazee wa front,mwanasiasa,drugs dealers namengine mengi huku ndo unakuta matajili wakutupwa MF lil wine,50 cent .kina 2pak,pia kuna wagangaji kama makuli,mikokoteni madalali,wachungaji,mamantilie,nahata hawa wajasilia Mali wametokea hapa sasa basis jiulize upo kundi gani wapi hapakufai.wapi panakufaa chukua hatua sasa kazi kwako ahsanten.
 
Back
Top Bottom