Kama Ulikuwa Hujui; Hizi Ndio Nchi Ambazo Tanzania Ina Ubalozi

Pi Network

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
290
319
Bila shaka lengo kuu la nchi mbalimbali duniani kuwa na ubalozi katika nchi zingine ni pamoja na kujenga/kudumisha ushirikiano baina ya nchi hizo.

Lakini pia kwa upande mwingine linapotokea jambo au tatizo kwa mtu ambae yupo katika nchi fulani ya ugenini, ofisi za ubalozi wa nchi yake katika nchi hiyo aliyo zuru ndio huwa mahali pa kimbilio kwa ajili ya msaada zaidi.

Kwa hivyo itakapo tokea umeenda; Aidha kutembelea, au kuishi katika nchi ambayo taifa lako halina ubalozi wake kwa nchi hiyo, kwako inakuwa ngumu sana kupata msaada wakati wa matatizo.
Katika mambo ya msingi unayopaswa kujua kabla ya kusafiri kwenda nchi yoyote duniani, ni ubalozi wa nchi yako katika nchi hiyo. Vinginevyo, watakucheka watu!

Hii ni Orodha ya Nchi Ambazo Tanzania Ina Ubalozi.

>> Ethiopia

>> China

>> German

>> Belgium

>> Egypt

>> Switzerland

>> Zimbabwe

>> Uganda

>> Rwanda

>> Democratic Republic of Congo

>> Nigeria

>> United Kingdom

>> Zambia

>> Mozambique

>> Russia

>> Kenya

>> India

>> Canada

>> France

>> South Africa

>> Saudi Arabia

>> Italy

>> Sweden

>> Japan

>> United States of America
 
Nahisi umetaja unazozikumbuka wewe lakin kuna zaidi ya hizo
 
Oman, Ghana, Argentina, Thailand , Hispania, Qatar, uae, Indonesia na Malaysia
 
Back
Top Bottom