weekend ilikua ndefuDuniani kuna watu watatu tu wakweli na
wasiodanganya:
1.Mlevi aliyelewa pombe
2.Mtoto mdogo
3.Mwanamke anayekaribia kileleni
[HASHTAG]#Samahanilakini[/HASHTAG] ,Mambo ya binadamu hayo!
Kikikiki huyu bwana anapenda jf balaaDuuh thread ya ngapi asubuhi hii?
Hahaa na kweli anaipendaKikikiki huyu bwana anapenda jf balaa
Avatar yako balaamkuu mm naona ni bubu ,mtoto under 2years na kiziwi ndo hawadanganyi
Sijui anasoma saa ngapi! Akishindwa mtihani analalamika kuwa Lecturer amemfelisha, hii tabu sana balehe hiyo STUNTERDuuh thread ya ngapi asubuhi hii?
imefanyaje mkuuAvatar yako balaa
Kuna mwanafalsafa mmoja alisema Popote ilipo pombe ndipo ukweli ulipo.*Mlevu sio mkweli Bali ni Mropokaji, mtu mropokaji huwezi kumuita mkweli (asiye danganya) maana anaweza kuropoka jambo hata lisilokuwepo
*Mtoto si wa kumuamini sanaa maana akili yake haiwezi kupembua vitu kwa jicho lingine,yeue hubeba maudhui kwa kile anachokiona Mfano watoto wengi hupelekwa kwa mahawara wa baba zao au mama zao na hiambiwa wawaite uncle au Aunt
*Mwanamke sio mtu wa kumuamini, we are pretenders kwaiyo hata hizo kilele wakati mwingine huwa tunaigiza tu wala so kweli