Fabijr
Member
- Sep 16, 2015
- 24
- 19
Wale mnaomkubali kinyama Vin Disel kaja na BLOODSHOT. Movie kali ya action 2020 Pakua Bure Hapa ShrinkMe.io
Nimeona matangazo yake sana nikahisi ya kawaida
ya kawaida sana maroboti mengi haina swagaNimeona matangazo yake sana nikahisi ya kawaida
Mkuu kwani vin diesel ndiye anayetengeneza movie au unadhani movie ni zake??...yeye anaitwa tu akaigize Kisha alipwe chake asepe haijalishi movie mbaya au nzuri...yeye akisaini mkataba na kampuni inayotengeneza movie ndo bas........bajeti ya movie moja ni kuanzia angalau $milion 150 Kama bilioni 320 za tz.....Sasa huyo vin ataanzaje kuongea na Cameroon.........Ajaribu kuwasiliana na Cameroon amumtengenezee kitu kimoja cha uhakika kama kile cha Alita
Sent using Jamii Forums mobile app