Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,129
- 18,743
Umesahau ule msemo wa "Heshima mbele'?
Jamani hata gari liwe na body iliyoundwa kwa mbwembwe kiasi gani sijawahi kuona exhaust pipe ikiwa imezibwa...acha wenzio wapumue bhaaana!
Hivi dini inaruhusu kuvaa gstring? Naona dada wa chini kabisa hapo kajilipua.
Madhara ya kuvaa ili kuwaridhisha watu na sio mungu.