Kama ukisikia-Bujibuji is no more!!!!!!

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,597
154,852
hebu fikiria ndio umepata taarifa kuwa Bujibuji ametutoka, je utamkumbuka kwa kipi/ lipi?
Poleni mlioshtushwa na heading.
Kuishi ni Kristo, KUFA FAIDA.
 
Da, hiyo title ilinishtua.
Hivi umewaza nini mheshimiwa?
Nisipokuona jukwaani nazimiss post zako, ukifa sina la kusema jibu sahihi litafuata muda huohuo
 
dah wed bujibuji pumbavu kabisa yaan dahh umenishtua wewe acha
presha yamngu imenipanda yan...umenishtua sana..ahh shenz taipu dont do that again..usiweke heading mbaya kiivo....

yap i do like u...cz ur carming...u thk b4 typng...nikisoma post zako lazima nicheke yaaan ingawa mda mwngne una kamba za ukweli lakin kamba zako ndo fleva kwangu thats y i love u......plz icho kiheading chako sjakipenda ata kdg ..nataman nikugeche yaan bt ahhh poa nimekusamehe bure.....

loooong live bujibuji LAGOSMAN.....igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!
 
Mura..... Unataka kunigecha ntoto ya mwenjio?
Nigeche mkono wa sweta tu, shingo niachie mwenyewe
 
hahaahhh..:peace:. ningeanza kusaka address ya ulikokuwa ukiishi nikale ubwabwa!
kufa kufaana bana!
 
hebu fikiria ndio umepata taarifa kuwa Bujibuji ametutoka, je utamkumbuka kwa kipi/ lipi?
Poleni mlioshtushwa na heading.
Kuishi ni Kristo, KUFA FAIDA.
Hata sijui nitajikiaje............. HEBU JIUE HALA NITAKAVYOJISIKIA NITAKUELEZEA HUKO HUKO NAMI NIKIJA
 
Bujibuji umenistua sana.
sasa hivi nilikuwa ninasoma mchangio wako kwenye jukwaa la lugha, kuingia hapo ninaambia umeshatangulia,
na jinsi nilivyokuwa mpumbavu, nilisoma heading bila kuangalia nani katuma.

Kama ingekuwa Siku ya Wajinga ungetupata sote kwa ujinga.
Hongera. Natumai siku ya kuondoka kweli utamwarifu Rejao aende kutafuna mpunga wa matanga.
 
ah ah ah thats my buji a.k.a bwana harusi mtarajiwa lol,mbn kule jamvini kwetu leo umepotea?
 
hebu fikiria ndio umepata taarifa kuwa Bujibuji ametutoka, je utamkumbuka kwa kipi/ lipi?
Poleni mlioshtushwa na heading.
Kuishi ni Kristo, KUFA FAIDA.

dah..!! heading kwakweli imentisha.
ukifa si thread zitakuwa nyingi na comments za addres yako tuje kufinya wali na uji
 
hebu fikiria ndio umepata taarifa kuwa Bujibuji ametutoka, je utamkumbuka kwa kipi/ lipi?
Poleni mlioshtushwa na heading.
Kuishi ni Kristo, KUFA FAIDA.
Roho itauma itaacha ila juhudi za makusudi nitakazozichukua nikujua shemeji umemuacha katika hali gani ilikama kunahitajika msaada walazima niwe wakwanza kuupeleka Mkuu!
 
yaani umekumbusha kitu cha maana. m-pm paw physical ad yako,ukirudisha namba tu tuje kula ubwabwa. manake lisemwalo lipo,kama halipo ...
 
Buji Buji.

Hii thread yako haijakaa vizuri kabisa.

Ningekushauri uwaombe mods wakubadilishie heading isomeke hivi. '' What if Buji buji Dies today''

Hivi unajua kama heading inatoa ujumbe kuwa umeshakufa?

Mimi pia napenda sana mizaha humu ndani, lakini hii yako imepitiliza Buji.

Hope you will understand.
 
Back
Top Bottom