Kama UKAWA hawatodai Tume huru ya uchaguzi muda huu, 2020 sipigi kura nasusa

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
1,182
2,015
Haiwezekani watu tuko busy na mambo ya mpito na kujadili watu tu badala ya mipango chanya.

Kwa hali ya nchi hivi sasa ni afadhali "wakati ule" wa mkwere.

Nina hakika iwapo tutakuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI wakati huu, na namna Juma "alivyotukoroga" huku uswahilini, october 2020, saa 5 asubuhi biashara inaisha.

njano na kijani zitaonekana pale makumbusho
 
kama walishindwa kuidai kipindi cha jakaya awamu hii mmeshaambia mkuu alichukua fomu mwenyewe hapangiwi cha kufanya!
 
Mkuu hapa mimi ndio huwa napatumia kugundua unafiki wa vyama vya upinzani,japo ni mpinzani kindakindaki but penye unafiki bora tuseme,viongozi wetu naw wameshalamba ruzuku hakuna anayeongelea hili,hilo utalisikia soon baada ya kushindwa uchaguzi kama excuse kwa wananchi
 
Hata wakipewa tume huru watasingizia mengine akili zao wanazijua wenyewe
 
Back
Top Bottom