Kama uchaguzi ungelifanyika wiki jana matokeo ni.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama uchaguzi ungelifanyika wiki jana matokeo ni..

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Sep 29, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  KAMA UCHAGUZI UNGELIFANYIKA WIKI JANA MATOKEO NI..

  Tetesi ndani ya chama changu tawala kulingana na kura ya maoni waliyoigharimia wao wenyewe kama uchaguzi ungelifanyika wiki iliyopita matokeo yangelikuwa kama ifuatavyo:-

  A. URAISI


  JINA ASILIMIA

  1.0 Dr. Slaa…………………………50
  2.0 JK……………………………….35
  3.0 Prof. Lipumba………………….14
  4.0 Wengineo………………………. 1


  B. UBUNGE


  CHAMA IDADI YA VITI

  1.0 CHADEMA……………………………101

  2.0 CCM………………………………… 66

  3.0 CUF……………………………………30

  4.0 WENGINEO………………………………...5

  5.0 TOO CLOSE TO CALL…………….. 8


  C. MADIWANI

  1.0 CCM……………………..52%

  2.0 CHADEMA…….. 38%

  3.0 CUF……………. 9%

  4.0 WENGINEO……. 1%

  USIBANDUKE KITUONI LINDA KURA YAKO SIKU YA UCHAGUZI

   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  matokeo hayo yana ukweli fulani hivi.
   
 3. K

  Keil JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni nani walioendesha hiyo tathimini?

  Synovate wamenishangaza sana, wanafanya tathimini Kenya ambako uchaguzi ni mwaka 2012, halafu wanadai eti hawajafanya tathimini Tanzania ambako uchaguzi unafanyika mwezi ujao. Kaazi kweli kweli!

  Kwa sasa hizo tathimini si muhimu sana, muhimu ni kuongeza kasi kwenye kampeni na kusambaza habari njema kwa wengi.

  Tathimini ina impact mijini ambako sometimes turnout huwa ni poor kwa kuwa kuna watu wana hisia ambazo ni negative kwenye uchaguzi na hivyo inawakatisha tamaa wasiende kupiga kura.
   
 4. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa bwana anaelekkea mtalaam
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  aisee inaweza kuwa kweli!
   
 6. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  viti vya ubunge ni vingi zaidi ya hivyo unavyoweka (210) na ujue kuwa kati ya hivyo CCM wana vya bure
   
 7. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Unajua kitakachotokea Synovate watamtimua kazi mkurugenzi wao ataajiriwa na serikali, watatoa tamko kwamba utafiti uliofanyika mwanzo ulikuwa na utata ( Science will be blamed here). Watagoma kufanya utafiti mwingine!!!!!!!
   
 8. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  haya , matokeo yana kana ukweli.
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  KWA NG'AZAGALA

  Idadi ya vitu vya ubunge ni 315 kama ifuatavyo:-

  a) VMajimbo ni 210

  b) Viti maalumu 95-mgawanyo wake kwenye vyama kutegema asilimia ya wabunge wa kila chama Bungeni

  c) Uteuzi wa Raisi 10

  Shukrani sana hata hivyo.
   
 10. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160

  Kabla ya uchaguzi CCM imekwisha jihakjkishia viti zaidi ya 80 ambavyo wagombea wao wamepita bilka kupingwa,Je navyo vitafutwa.

  Tafiti nyingine ni za kujiliwaza tu,Wewe hamasisha watu wajitokeze kupiga kua kwa wingi siyo kutoa takwimu za kupotosha watu
   
 11. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa... at best tegemeo kubwa la Chadema ni urais. Ubunge wanaweza kutoka pasu na CCM. Inabidi tujitahidi kuwahamasisha watu wapige kura na wamchague Slaa na wagombea wake
   
 12. K

  Keil JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Check hiyo figure yako, haiko sahihi. Waliopita mwanzo bila kupingwa walikuwa 10, then wakaongezeka (through mapingamizi) na kufika 17 au 20 hivi, baadaye kuna rufaa kama nne au tano hivi za CHADEMA zilikubaliwa na NEC, mojawapo ikiwa ya Masha, halafu kule mitaa ya Maswa, pia Handeni kwa Dr. Kigoda.
   
 13. Profesy

  Profesy Verified User

  #13
  Sep 29, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sielewi kwanini tunapoteza mda hapa kungojea watu watoe matokeo ya kura za maoni badala ya kwenda kuwashuku watu na kuwaaomba wampe kura Doctor.
   
Loading...