Kama uamini sala na maombi yamempa ushindi mh joshua nassari soma hapo chini!!

Washabiki wa chadema bana! mkiitwa wadini mnatukana; lakini nyie kila siku mnawaita wenzenu wadini

mkuki kwa nguruwe

udini,udini?
Sijaona aliyebaguliwa cdm kwa sababu ya udini,
mnaopakazia udini cdm ni hila tu na mwisho wenu ni aibu kubwa
 
na kunampango kupitia cdm zito kabwe asipate nafasi yoyote ya juuu kwenye chama icho

Kwani yeye ni nani, uongozi ni kwa wote, uongozi hauendi kwa kulithishana kama CCM, angalia mwenyewe watoto wa viongozi wakale wanaopewa , k.v. Mtoto wa Mwinyi, kawawa J. Makamba, Lusinde, Mnauye , Karume na wengine wengi, basi na huu ni udini kwa njia ya kuabudu viongozi waliotangulia.
 
Ushindi wa Nassari umetokana na kura nyingi na mikakati ya kisayansi ya cdm siyo maombi. Ingekuwa rahisi hivyo basi watu wangeenda kanisani au msikitini na kuomba wawe marais na kuwa. Acheni uvuvi wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom