Kama tutakosa huo mkopo wa WB Zitto atakuwa amemuadabisha nani! Serikali ya JPM? Au watoto wa kitanzania?

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
785
1,260
Mimi kwa kweli kuna mda unafika huwa nashindwa kuwaelewa wanasiasa wa kitanzania

Ina maana Zitto kama mbunge ameshindwa kuikosoa serikali kama anaona kuna kitu hakipo sawa hadi aende kulialia WB kuwa wasiikopeshe Tanzania

Tena ukizingatia ni pesa ambayo inatakiwa kwenda katika sector ya elimu wafaidika wakubwa wangekuwa ni watoto wa kitanzania na ni watoto wa wapiga kura wake

Kama kungekuwa na chuo cha wapinzani wa siasa basi wana siasa wa kitanzania ilitakiwa wakasome hicho chuo

Maana Seifu nae alipokosaga uraisi Zanzibar alizunguka dunia nzima kutaka Zanzibar itengwe na kunyimwa misada Lisu nae hivyo hivyo anazunguka dunia nzima ili Tanzania iwekewe vikwazo na sasa ameibuka Zitto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zito hatakuwa amemuadabisha yoyote. Serikali kila siku inasema ina hela nyingi sana.
Hivyo sasa serikali imepata sababu na jukwaa muafaka la kumthibitishia Zito, Watanzania, Wasaliti wa nchi, Wanachadema na Mabeberu kuwa Serikali ina hela na huo mkopo siyo chochote kwao watatumia hela zao za ndani kufanya hayo waliyotaka kufanya kwenye elimu
 
ITAMUASHIBU CCM, maana hizo pesa zisingetumika kwenye elimu. Kama ambavyo imetumia mamilioni kwenye ndege, reli, nk huku ikiwanyima watoto weru hata mikopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ina sera. Sera ni kuwanyima fursa wasichana waliopata mimba, Zito hana hela bali ana hoja ya haki ya elimu kwa wote, WB wana sera za haki za binadamu.
Ishu ni ndogo, Serikali ikubali hoja ya Zito (ambayo inaonyesha ushujaa kwa ZK), WB itatoa hela fasta, maisha yataendelea tubaki kumsikilizia Pompeo.
 
Soon mbivu na mbichi zitajulikana ila zitto kakurupuka
 
Zito hatakuwa amemuadabisha yoyote. Serikali kila siku inasema ina hela nyingi sana.
Hivyo sasa serikali imepata sababu na jukwaa muafaka la kumthibitishia Zito, Watanzania, Wasaliti wa nchi, Wanachadema na Mabeberu kuwa Serikali ina hela na huo mkopo siyo chochote kwao watatumia hela zao za ndani kufanya hayo waliyotaka kufanya kwenye elimu
Hivi kuna watu bado wanaikumbatia serikali hii?!
 
Back
Top Bottom