Kama tungekuwa na traini kama hizi njia moja na magari ya kawaida ajali bongo zingeua malaki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama tungekuwa na traini kama hizi njia moja na magari ya kawaida ajali bongo zingeua malaki

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Jan 12, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG]

  [​IMG] [​IMG]
   
 2. driller

  driller JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  umeona eeehhhhh
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Wenzetu light train za mijini ni za umeme na zinafuata sheria za traffic ya magari ya kawaida na kupisha zitokeapo rangi nyekundu, bongo hapo ingekuwa machinjoni.
   
 4. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hizo siyo tren ni tram. Sijakubalina sana na hypothesis yako kwenye issue ya ajali
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,937
  Trophy Points: 280
  hiyo sio treni kaka..hapo juu tunisia wanazo ..its so simple to have them just umeme wa uhakika ..haya mambo tunashidwa kwa sababu ya uzembe na system ambayo imeshajiweka tayari ni ngumu sana kuitoa
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hujanipata, hizo baadhi ya nchi hazina barabara yake tu ila reil zimejengwa ndani ya barabara sambamba, na unaweza amua kuwa upande wa kushoto au wa au kulia kama ni one way na kama ni two way basi hali kadhalika kuna utaratibu zinaenda sambamba na magari ya kawaida, na zinafuata fraffic light na kupisha magari mengine ni kama traffic za kawaida tu. Kwa utaratibu huu kwetu ni ngumu sana kufuata kutokana na uzembe tulio nao.

  Hali kadhalika mijini kuna magari yanayokokotwa na farasi na hao farasi wanafuta sheria za barabarani, hali kadhalika magari hupisha misafara ya farasi kadiri ya sheria za traffik zinavyotakiwa. Mambo kama haya peleka gari la farasi pale kisutu uone mambo yatakavyokuwa.
   
 7. T

  TUMY JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha h ah ah ah ah ah ah mliofika huko mtuambie ni tram ama treni mbona hatuelewi, ila ujumbe wa mwenye post umefika, magufuli ataleta huo utaratibu dar ngoja amalize kigamboni
   
 8. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45


  Mkuu hii AVATAR yako alama ya Jeshi la Adolf Hitler vipi au muumini wa huyo jamaa.
   
 9. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45

  Ni tram
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tram. . .
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  zote zingemilikiwa na Rostam, Lowassa na Chenge (RACHEL)
   
 12. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Tofauti ya train na tram ni wewe na mimi tunayezijua, lakini wengi tunaoishi na kuzoea central line na north line bora tuandike kitu ambacho watakielewa kwa urahisi. NI sawa na commuter transportation ambazo ni za long distance na short distance ana local. Zote husajiliwa commuter public trasportations kama Cab, Bus, train, tram, horse car, nk. hata zile za special occasion kama Limosine zote ni commuter public transportation. Bora tuite tu commuter lugha ambayo itaeleweka zaidi kwa wasomaji wengi.
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Nadhani ajali zingezidi kwa asilimia 1000%
   
Loading...