Kama tunajua Mshahara wa rais tujue Mishahara ya viongozi wote

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Mimi naona kwa hili la Rais kutaja Mshahara wake. kila Kiongozi ataje wa kwake paia. Ingawa sheria inatoa mwanya kwa kila Mtu kutaja ama kutotaja Mshahara wa mtu. Hii itapunguza rushwa sana Nchini.
 
  • Thanks
Reactions: MTK

Viongozi wote wa umma (public servants) mishahara yao iwekwe wazi, kam kuna zuio la kisheria ibadilishwe kwa manufaa ya umma.
 
kweli maana kuna mijizi inaiba inajificha kwa kusema mishara yao? ndo inajenga nyumba za milioni mia. kila mwaka!
 
Viongozi wote wa umma (public servants) mishahara yao iwekwe wazi, kam kuna zuio la kisheria ibadilishwe kwa manufaa ya umma.
Hata wasio wa umma mkuu. Taasisi za kidini kama Bakwata Nazo wataje vipato vyao
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Hata wasio wa umma mkuu. Taasisi za kidini kama Bakwata Nazo wataje vipato vyao
Halikadhalika haya makanisa "feki" ya kina Geor davie, Anthony Lusekelo, getrude lwakatare na wengineo, waakomba pesa nyingi kutoka kwa walala hoi haswa haswa wanawake ambao ni wepesi kudanganyika!
 
Mkuu, Bakwata si inapata ruzuku kutoka serikalini? Au umesahau kuwa Bakwata ilianzishwa na Nyerere?
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Magufuli analindwa. Kuna watumishi wengine mishahara ikijullikana watavamiwa na majambazi kila mwezi
 
Mkuu, Bakwata si inapata ruzuku kutoka serikalini? Au umesahau kuwa Bakwata ilianzishwa na Nyerere?
Ni kweli hata haya makanisa mainstream yaangaliwe vizuri; hivi kuna umuhimu gani kuyapa madhehebu ya dini exemptions za kodi! Au ni woga wa Umungu wakati tunayajua maovu mengi yanayofanyika kupitia kivuli cha madhehebu haya?! Kwa mfn: kanisa katoliki na ulawiti wa watoto; Anglican na ushoga; Kkkt na rushwa na vita za uchaguzi nk nk!
 
Mkuu exemptions za kodi sio mishahara. Hivi Yale Malori ya Bakwata yaliyokamatwa kwa kukwepa ushuru yalilipiwa? Tu-ushuru twenyewe tudogo vile bado watu wazima wanakula kona kulipa?
 
Back
Top Bottom