LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 516
Naona watu wengi wanawaza kuhusu raisi ajaye.
Nafikiri si vibaya kwani kwa sasa tunahitaji maendeleo katika nyanja zote kupitia kiongozi imara wa nchi hasa raisi.
Pamoja na hayo, uchaguzi mkuu wa 2015 umekaribia ambapo ndo tunapohitajika kuamua raisi wetu.
Lakini mapendekezo mengi yamekuwa yakisahau kuwa raisi ajaye ni lazima asiwe pandikizi au anayeweza kubadilishwa na mataifa ya kibepari kama Marekani.
Nasema hivi kwa sababu Tanzania sasa ni 'target' kubwa ya mataifa makubwa hasa Marekani katika kunyonya rasimali za nchi.
Tunahitaji raisi atayesimama mwenyewe katika kuendesha nchi na kufanya biashara za faida kwa nchi yetu na mataifa makubwa duniani kama Marekani.
Tunahitaji raisi ambaye tunajua uhusiano wake na mataifa makubwa mapema kabla ya kuchaguliwa na hiyo ndo kazi ya TISS. Kwa kifupi hatuhitaji 'Puppet' nchini kwetu.
Watanzania wezangu, hili ni suala la msingi sana kwa kusimamia na kulinda mali na hali za watanzania wote.
Mtu yeyote anyepingiwa chapuo au mwenye mahusiano ya karibu na Marekani au nchi yeyote kubwa duniani tusimchangue kabisa.
Kwa kifupi raisi huyo anahitajika kuwa na uwezo mkubwa wa kuchambua mambo ya kitaifa na kimataifa kwa masilahi ya ya nchi yetu.