Kama tunagoma kuitwa Wanyonge, tupinge na kupiga vita kauli ya Rais katoa Fedha ya Miradi.

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
3,800
8,781
CCM imekuwa na tabia ya kuleta maneno na kauli za ajabu sana. Nyerere alikuwa na vimisemo ambavyo vimekuwa vinadumaza sana akili zetu hasa neno kuwa Wananchi ni Wanyonge. Sijui alikuwa anasema Wajinga kwa kauli ya kificho. Zikaja kauli tofauti mpaka kuja kuitwa Malofa. Sasa hivi kumekuwepo na kauli ya Rais katoa pesa za miradi ya Maendeleo. Hii kauli imekuwa inatamkwa sana na Mawaziri wa hii Serikali na SSH nae anafurahia mpaka juzi kati hapa alisema kuna hela sijui kazipata wapi anaongezea kwenye ujenzi wa madarasa. Unajiuliza Rais anatamka hadharani kuna pesa kapata sehemu halafu anaileta nchini!? Bila hata kuhojiwa. Narudia tena tupinge hizi kauli za Rais kutoa pesa yeye hana pesa. Pesa ni za serikali na yeye ni mwajiriwa wetu awe wazi kusema pesa anatoa wapi kama ni zake.
 
Kwanza kauli hiyo ni dharau kubwa kwa bunge! Bahati mbaya sana wabunge wenyewe ndiyo wako mstari wa mbele kutumia kauli hiyo ya kujipendekeza ili wafikiriwe kupata uteuzi katika taasisi za serikali.
 
Kwanza kauli hiyo ni dharau kubwa kwa bunge! Bahati mbaya sana wabunge wenyewe ndiyo wako mstari wa mbele kutumia kauli hiyo ya kujipendekeza ili wafikiriwe kupata uteuzi katika taasisi za serikali.
Ngoja waje walamba viatu vya wakubwa utasikia tu.
 
Wewe ni kipi unachopiga sas?

Wewe ndiyo umezitoa hizo pesa au mbowe au baba yako?

Kuna hela yoyote ya mradi mkubwa inaweza kutolewa bila Rais?

Usipende kuchochea kila jambo,basi toweni nyie hizo pesa zenu
 
Hauna akili ww. Wapi nimemtaja Mbowe?! Pesa za Serikali kuna jasho pia la baba yangu maana analipa kodi. Wapi umesikia pesa za miradi zinatolewa na Rais wapi tumia hata akili kidogo.maana akili zako umezisahau sehemu.
 
Wewe ni kipi unachopiga sas?

Wewe ndiyo umezitoa hizo pesa au mbowe au baba yako?

Kuna hela yoyote ya mradi mkubwa inaweza kutolewa bila Rais?

Usipende kuchochea kila jambo,basi toweni nyie hizo pesa zenu
Inaelekea umekatwa kichwa na unatumia mkundu kufikiri! Fedha zote za umma matumizi yake yawe kwa ajili ya miradi au matumizi ya kawaida yanaidhinishwa na bunge. Huyo Rais ni cashier tu!
 
Wewe ni kipi unachopiga sas?

Wewe ndiyo umezitoa hizo pesa au mbowe au baba yako?

Kuna hela yoyote ya mradi mkubwa inaweza kutolewa bila Rais?

Usipende kuchochea kila jambo,basi toweni nyie hizo pesa

Wewe ni kipi unachopiga sas?

Wewe ndiyo umezitoa hizo pesa au mbowe au baba yako?

Kuna hela yoyote ya mradi mkubwa inaweza kutolewa bila Rais?

Usipende kuchochea kila jambo,basi toweni nyie hizo pesa zenu
We boya , kwanza rais ameajiriwa na sisi. Pili sisi ndo tunaokatwa tozo huku. Kauli sahihi nikusema serikali imetenga fedha maana serikali ni jumuishi. Labda kama huyo rais hizo hela anatoa kwenye mshahara wake.
 
Back
Top Bottom