Kama tuna shida ya madawa, tuombe madawa sio he

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,566
hello JF,

leo nimewaza labda tusipewe misaada in monetary form,........

kama tuna shida ya madawa,tuombe madawa sio hela,..........

kama tunahitaji kutengenezewa bara bara,ama computers for students,tuwe specific tunapotembeza bakuli la kuomba msaada,...........

hii itazuia kutokea kama rambi rambi za kagera...............

sijui importance ya kupewa hela kama kuna anayejua,anaifahamishe,lol
 
Hakuna mtu huwa anatoa msaada. Ukihitaji ufafanuzi niulize chochote
 
hello JF,

leo nimewaza labda tusipewe misaada in monetary form,........

kama tuna shida ya madawa,tuombe madawa sio hela,..........

kama tunahitaji kutengenezewa bara bara,ama computers for students,tuwe specific tunapotembeza bakuli la kuomba msaada,...........

hii itazuia kutokea kama rambi rambi za kagera...............

sijui importance ya kupewa hela kama kuna anayejua,anaifahamishe,lol
Hakuna mtu au taifa tajiri huwa anatoa msaada. Ukihitaji ufafanuzi niulize chochote
 
kumbe huwa wanatoa nini mkuu?? au nije PM?lol
Nakupa mfano:

1.Muuza madawa sugu au jambazi sugu anaweza kuwa mtoa misaada mzuri sana, ili siku akikamatwa anavuta public sympathy ya kutosha na kuonesha kaonewa

2.Wajapan wanatuuzia sana magari kiasi kwamba wanaona kama hatutakuwa na barabara za kutosha magari yao yatakosa wateja - watatoa misaada ya barabara kwa masharti ya kuingiza magari yao hapa

3.China kuna idadi kubwa sana ya watu na ajira na ili wapate ajira watu wao, ukiwaomba msaada wa pesa ya ujenzi, watataka wakikupa pesa yao ukubali na makampuni yao pamoja na watu wao wapewe hiyo tenda ( Juzi tu hapa wachina walikubali kuwalipia madeni Zimbabwe kwa sharti la Wazimbabwe waanze kutumia YUAN badala ya DOLA, maana pesa ya zimbabwe imeshakufa )
 
Asante Mkaruka,

kwani hatuwezi kunegotiate wafanye yao wakishirikiana na sisi????
 
Ni ngumu sana kunegotiate kati ya Tajiri na Masikini kwasababu sisi ndio wenye shida, labda kama tungekuwa na umoja ( Africa nchi moja ) then ingekuwa rahisi kuweka misimamo
 
Mmmmh,kwa ivo mama kama ni madawati watengeneze marekani watuletee huku,mi nadhani tupewacho sisi siyo misaada bali uwa tuna hongwa ili wakihitaji chochote chenye thaman sawa au zaid ya hongo wapate kwa urahisi.
 
Yaani hata NGOs ni Money Oriented, hakuna cha msaada wala nini ?
 
lol mkuu kwani hawawezi kutengeneza madawati na kuyaleta?lol nakutania,point yako iko sawa na Mkaruka hapo juu tunapewa msaada under conditions,swali kwenu ,tunafaidika na hio misaada au tuisuse ?lol
 
Ipo misaada inayosaidia ingawa ikikosa usimamizi mzuri kwa hizi nchi zetu za Africa, yote mifukoni mwa watu wachache
 
Mmmmh,kwa ivo mama kama ni madawati watengeneze marekani watuletee huku,mi nadhani tupewacho sisi siyo misaada bali uwa tuna hongwa ili wakihitaji chochote chenye thaman sawa au zaid ya hongo wapate kwa urahisi.
Yaani hata NGOs ni Money Oriented, hakuna cha msaada wala nini ?
Bila shaka,mashirika yaweza saidia kukabiliana na changamoto mbalimbali zikumbazo jamii,ila inalenga maslahi binafsi.
 
Ipo misaada inayosaidia ingawa ikikosa usimamizi mzuri kwa hizi nchi zetu za Africa, yote mifukoni mwa watu wachache

mkuu mie sijui haya mambo kwa undani,ila hio misaada ikitolewa hakuna follow up,kuona misaada yao imetumikaje??
 
Follow Up ni lazima wafanye kwasababu usipowapa mchanganuo namna ulivyotumia huo msaada wao hawatakupa tena kwahiyo huwa watu wanabumba bumba tu wanawapa.

- Tena ukiomba msaada then ukawaambia huo mradi wako unataka kushirikiana na watu wao, wanakupa pesa faster then mchanganuo wanataka paper 2,000.
 
sasa mkuu wachache wenye position ya kubuma buma ndio tabu,ukiwakata hao then utaona changes,labda donors wameona hii coruption ndani yetu, ndio maana wanatoa misaada yao kwa masharti,tunalalamika kosa ni lao,kiukweli sio lao
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom