Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Linapokuja swala la uzalendo, nadhani watanzania tunajivika unafiki wa ajabu sana.
Kuna watu ukimpinga Mtukufu basi wewe unaonekana sio mzalendo hata kama ni jambo ambalo kweli limekosewa.
Muda huu kwa kuwa mtukufu anasahihisha makosa ambayo wenzake walifanya basi tunajiita wazalendo kwa kumpigia makofi, that's fine.
Tulikua na jambo la ndege ambalo watu wanahoji fedha zao za kodi kama zimetumika vizuri na kama kweli hatujapigwa. wakaibuka watu hasa wale wa Lumumba kwamba wanahoji swala la ndege sio wazalendo.
Nadhani ndio wale wanaojiona wazalendo kwa kuficha kivuko kilicho tugharimu fedha ambazo tungeweza jenga hospitali ya mkoa kwa kukificha jeshini.
Nadhani kuna watu hapa hawajui maana ya uazalendo na tukiwafuata tutapotea kama tulivyo potea miaka 50 toka tupate Uhuru.