#COVID19 Kama tumejiridhisha chanjo ya COVID-19 ni bora, tutangaze chanjo lazima kwa kila mtu ili kunusuru Taifa

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,791
3,360
Mimi binafsi nimejiridhisha kupitia watu mbalimbali waliochanjwa ,kuwa chanjo zinazotolewa hapa nchini, zina uwezo wa kukinga uviko kwa kiwango cha kutosha.

Na hii ni kwa wale waliopitisha zaidi ya wiki mbili hivi tangu kuchanjwa.

Pia, nimeangalia matukio ya halaiki kama mpira wa miguu katika nchI mbalimbali zilizoanza kuchanja vikirudi kawaida na washabiki lukuki.

Ulazima ninaopendekeza ni zile ruhusa za chanzo kuwa kigezo Cha kuingia au kufanya shughuli kadhaa hasa za halaiki.
Mfano, washiriki wa sherehe za harusi,makongamano,mikutano nk wawe wamechanjwa.

Kama ilivyo kwa nchi nyingine kuwa huwezi kuingia hadi uonyeshe cheti Cha chanjo,nasi iwe vivyo hivyo.

Tukifanya hivyo tutafika mahala ambapo asilimia kubwa kama sii yote utakuwa imechanjwa.

Kigezo Cha kutokuziamini chanjo na kupelekea uhiari,tuondokane nayo.
 
Jiridhishe pia kwa wewe kujanjwa vipi kama uliowaangalia hawakukupa taarifa ya kutosha, utawezaje kuwa shauri wengine kikamilifu.
 
Kama huwezi kujikinga kuwaambukiza wengine, basi kuchanjwa Corona kuwe lazima kwa wote.
 
Hivi wewe uliyechanjwa kunaubaya gani ukichangamana nawasiochanjwa?

Maana ya chanjo si unanijikinga usiambukizwe!

Kaulimbio TUSILAZIMISHANE
 
Back
Top Bottom