Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Tangu lini kada wa ccm hasa uvccm akawa na roho ya binadamu?Mleta mada una roho mbaya wewe ni sadist

Sasa kama walikamatwa kufurahisha umma, unataka DPP afanyaje?Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.
MATAGA safari hii lazima mpate kansa ya ubongoMihemuko ya kufurahishana ina faida na hasara waswahili wanasema
"Kila mchuma janga hula na wa kwao"
Hutaki kajinyongeMnafurahia ujinga
Papaa msofe nae out...mzee wa madili mzee wa mishen tauni...Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.
Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.
Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.
Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.
Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.
Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Zaidi, soma mijadala hii:
1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar
2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu
3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Kama Emmanuel Mchimbi alikua na ushahidi alishindwa Vipi kuwakuta na hatia Miaka 6 yoteNi wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.
Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.
Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.
Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.
Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.
Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Zaidi, soma mijadala hii:
1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar
2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu
3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Wapuuzi hawa ,Miaka 6 hampeleki ushahidi Leo hii wanapiga kelele Mafirauni Wakubwa hawaNchimbi yuko wapi maana mmekaa kimya ushahidi hampeleki mpaka wanatolewa
Unakuja kulialia kwenye mitandao huku
Wanaroho mbaya sana hawa watuWapuuzi hawa ,Miaka 6 hampeleki ushahidi Leo hii wanapiga kelele Mafirauni Wakubwa hawa
Swadaktaa...Na muislam mwenzetu Samia kawatoa, ndo maisha
We si ulikatwa mkia, ukatishia uguswe unuke. Kuzimu nako kwa jf kumbeMATAGA safari hii lazima mpate kansa ya ubongo
Wewe ni mpuuzi tu, sasa kama wanaachiwa miaka yote hiyo mbona hawakuwa convicted? una roho mbaya kama mwendazk, una mtuhumu vipi mtu miaka 8 mfululizo hujamtia hatiani?, ingekuwa ni babaako na mamaako au ndugu yako tu ungekuja hapa leo kuandika ujinga huu.Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.
Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.
Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.
Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.
Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.
Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Zaidi, soma mijadala hii:
1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar
2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu
3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Jiwe aliwaharibu sana nyie uvccmWe si ulikatwa mkia, ukatishia uguswe unuke. Kuzimu nako kwa jf kumbe
Kwahiyo DPP ATAKUWA SAWA KWA KUWABAMBIKIA WATU KESI? ILA HAYUKO SAWA ANAPOWAACHIA KWAKUKOSA USHAHIDI...Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.
Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.
Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.
Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.
Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.
Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Zaidi, soma mijadala hii:
1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar
2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu
3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Vp kama walifungwa kisiasa? Unayakumbuka ya Jiwe na Babu seya?Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.
Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.
Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.
Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.
Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.
Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Zaidi, soma mijadala hii:
1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar
2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu
3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Hichi ni nin sasa? Au wew ni copy ya Mwendazake??She afraid criticism