Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

Dah!

Kudhani mama mpya kwenye system ni kukosa uelewa,alikuwepo, yupo na atakuwepo.

Tuendelee kujifurahisha na MAZINGAOMBWE ya viongozi wetu.
Alikuwepo sawa lakini alikuwa Voiceless lakin sasa hivi yy ndiyo sauti ya mwisho
 
Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.

Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.

Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.

Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.

Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.

Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu

Zaidi, soma mijadala hii:

1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar

2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu

3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Mbona alivyotolewa babu seya ambae alushahukumiwa kwa ubakaji hamkusema sembuse Hawa ambao ni watuhumiwa
 
Nakubalina na wewe kuwa kufuta kesi za hao jamaa waliokuwa wakimwagia watu tindikali ni jambo baya sana. Kuna binti mmoja wa kiingereza alimwagiwa tindikali bila kosa lolote, kwa vile tu alikuwa amevaa ambavyo uamsho walikuwa hawataki, jambo ambalo lilikuwa linatishia sekta ya utalii zanzibar. Baada ya kuwaweka ndani, uharifu wa tindikali ukaisha.

Hata hivyo, serikali nayo ilikosea sana kuwaweka ndani kwa miaka kumi bila kuwafungulia mashtaka yoyote. Kwa kuwacheleweshea mashtaka, serikali ilikuwa inawavunjia haki zao za binadamu. Kilichotakiwa ni kuwafikisha mahakamani na kumaliza kesi yao kuliko kuifuta kienyeji kama vile hawakuwa wamefanya jambo lolote.

Huo ushahidi wa wao kuhusika kwenye kumwagiwa mzungu hiyo tindikali mbona umeshindikana kupatikana mahakamani?
 
Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.

Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.

Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.

Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.

Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.

Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu

Zaidi, soma mijadala hii:

1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar

2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu

3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Lakini umesahau kuwa watu hao hao walishitakiwa kwasababu ya kisiasa.

Kwa hiyo mlango walio ingilia ndiyo huo huo wanaoutokea.
 
Mshenzi tu huyu atakuwa hana roho ya kibinadamu! Kama unavosema rapists waliotiwa hatiani kwake yeye ni bora zaidi kuliko maulamaa waliotiwa hatiani!
 
Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.

Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.

Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.

Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.

Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.

Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu

Zaidi, soma mijadala hii:

1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar

2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu

3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
ndo maana tunamkumbuka JPM.kwa kweli tabia hii ya wanasiasa kuingilia uhuru wa mahakama tutakuja kujuta muda si mrefu.
 
Unamuweka mtu mahabusu miaka 9 bila kumfungulia mashitaka hii si haki kabisa, Mama Samia ametumia UTU na tunamuomba na wale wote waliobambikiziwa mi kesi kesi ya kijinga wakati wa uchaguzi WOTE wawe huru.

Huwezi kutawala nchi wa misingi ya ubaguzi na kuonea raia kisa tu kupata millage ya kisiasa, Serikali ya awamu ya TANO imeacha makovu mengi ndani ya mioyo ya watanzania, Mama safisha Engine, bado kuna oil changu kibao- wakumbuke pia wafungwa na wakimbizi wa kisiasa.
 
Mwiba hutokea ulipoingilia. Walifungwa kisiasa wamefunguliwa kisiasa. Ushahidi miaka 9 haupo kesi gani ya kingese hii!!!
 
Anataka mashekhe waendelee kusota??
siyo waendelee kusota sheria zifanye kazi yake lkn sasa mahakama zinaonekana kutofanya kazi yake kwa uweledi.kuna vitu kwenye nchi yetu haviendi vizuri.tutavuna hicho tunachokipanda.huu mzaha wa kuchezea mahakama kwa kufurahisha watu huko tuendako tutalia.
 
Hoja sio wao kwenda ikulu bali ni walikuwa wafungwa tofauti na hawa mahabusu. Hilo la kwenda ikulu ni ishu nyingine
Kuachiwa huru walawiti waliothibitika kisheria kisha kuwaalika Ikulu ni jambo baya sana.
Mfumo wa kisheria wa nchi uliwakuta na hatia, uliwahukumu kwa mujibu wa sheria , kwa makosa ambayo ni moja ya jinai mbaya, huwezi kuwatoa jela na baadaye kuwaalika Ikulu ya nchi.
Ikulu ya nchi pamefanywa kuwa mahali ambapo wabakaji wanaenda kula bata na rais.

Hivi kama binti yako ndiye aliyebakwa ungejisikiaje?
 
Mwendazake alipomtoa seya na wenzie uliongea huo utumbo!!?

Acha kulalamika kama walikukosea wewe mzee.

Jifunze kuacha yapite😀😀😀😀😀
 
tusiache kuiombee nchi yetu nzuri ya Tanzania

Endelea kulaa JPM umeondoka tulikuwa bado tunakuhitaji sana.
 
Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.

Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.

Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.

Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.

Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.

Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu

Zaidi, soma mijadala hii:

1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar

2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu

3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar

Filosofia za namna hii ni ni za wapiga debe, masungu sungu, boda boda, na wa watu wa namna ya mleta mada. Hawa ndiyo waliokuwa "engine" ya awamu ile. Hao ndiyo waliitwa kuwa "wale wanyonge!"

Kada ya watu wenye elimu duni kabisa, waliopotoshwa kwa makusudi (yaani waliokuwa brainwashed) na mamlaka iliyokuwa imedhamiria kuendelea kuwepo hata kama ni kwa kubadilisha katiba!

Kuwaondolea kasumba iliyowakaa wajamaa hawa ni shughuli pevu kweli kweli kwa awamu ya sita. Uzi huu unahusika:

Back
Top Bottom