mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,960
- 2,464
wakuu mwelekeo wa nchi yetu mi naona kwa sasa ni kudai madaraka na haki zetu kwa nguvu ndo linalofuta, swali je tukianza mission yetu ni nani atakuwa wa kwanza kututambua kamasisi ndio watu halali wa kuongoza hii nchi? maana baraza la mpito libya ufaransa ndo ilikuwa ya kwanza kulitambua, je sisi watu wa jf tutatambuliwa na nani?