Kama TMAA walishirikiana na ACACIA kupika data,vipi kuhusu Taasisi hizi za kimataifa?

Hata upige kelele Gani, Hawa wezi tumewashika pabaya na Hawachomoki. Walichoenda kupima sicho walichokijaza kwenye Containers na tumechunguza na kujiridhisha walikuwa wanatuibia full stop

..hakuna haja ya kubishana kwenye vipimo.

..suluhisho ni Tz kuuza mchanga wenye dhahabu.

..tutapata mapato mengi tu, na acacia tuwape
kile kidogo walichokuwa wakiripoti.

..hakuna haja makonteina yamejaa dhahabu yanaachwa yapigwe na vumbi bandarini, huku wagonjwa wanakosa dawa hospitali.

..Mchang wa dhahabu uuzwe bila kuchelewa.
 
Fungua hizi link uone barua za siku chache zilizopita moja ikiwa ni barua ya June 12 mwaka huu kutoka kwenye Taasi hizi kubwa za kimataifa zikithibitisha taarifa za ACASIA kuhuvu viwango vya madini katika makanikia.

http://www.acaciamining.com/~/media/Files/A/Acacia/Microsite/endorsements/en5-sgs.pdf

http://www.acaciamining.com/~/media...endent-testwork-of-bulyanhulu-concentrate.pdf

http://www.acaciamining.com/~/media...-MRI-letter-regarding-buzwagi-concentrate.pdf

http://www.acaciamining.com/~/media...I-letter-regarding-bulyanhulu-concentrate.pdf

Nachojiuliza ni kuwa,kama hizi Taasisi kubwa za kimataifa za uchunguzi wa viwango vya madini zinatoa matokeo yanayoshabihiana na yale ya ACACIA, sisi tutaumia Taasisi gani kuthibitisha madai/findings zetu?
Tundu Lissu tulia.
 
Sijui hawa wafuasi wa Shetani wana shida gani.
 
Nakushauri uwatahadharishe wajipange kulipa walichoiba
 
Back
Top Bottom