Kama TMAA walishirikiana na ACACIA kupika data,vipi kuhusu Taasisi hizi za kimataifa?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
38,228
2,000
Fungua hizi link uone barua za siku chache zilizopita moja ikiwa ni barua ya June 12 mwaka huu kutoka kwenye Taasi hizi kubwa za kimataifa zikithibitisha taarifa za ACASIA kuhuvu viwango vya madini katika makanikia.

http://www.acaciamining.com/~/media/Files/A/Acacia/Microsite/endorsements/en5-sgs.pdf

http://www.acaciamining.com/~/media...endent-testwork-of-bulyanhulu-concentrate.pdf

http://www.acaciamining.com/~/media...-MRI-letter-regarding-buzwagi-concentrate.pdf

http://www.acaciamining.com/~/media...I-letter-regarding-bulyanhulu-concentrate.pdf

Nachojiuliza ni kuwa,kama hizi Taasisi kubwa za kimataifa za uchunguzi wa viwango vya madini zinatoa matokeo yanayoshabihiana na yale ya ACACIA, sisi tutaumia Taasisi gani kuthibitisha madai/findings zetu?
 
ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
732
500

Nchojiuliza ni kuwa,kama hizi Taasisi kubwa za kimataifa za uchunguzi wa viwango vya madini zinatoa matokeo yanayoshabihiana na yale ya ACACIA, sisi tutaumia Taasisi gani kuthibitisha madai/findings zetu?
Taasisi ya kimataifa yenye wafanyakazi watanzania. Chochote kinawezekana
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
Fungua hizi link uone barua za siku chache zilizopita moja ikiwa ni barua ya June 12 mwaka huu kutoka kwenye Taasi hizi kubwa za kimataifa zikithibitisha taarifa za ACASIA kuhuvu viwango vya madini katika makanikia.

http://www.acaciamining.com/~/media/Files/A/Acacia/Microsite/endorsements/en5-sgs.pdf

http://www.acaciamining.com/~/media...endent-testwork-of-bulyanhulu-concentrate.pdf

http://www.acaciamining.com/~/media...-MRI-letter-regarding-buzwagi-concentrate.pdf

http://www.acaciamining.com/~/media...I-letter-regarding-bulyanhulu-concentrate.pdf

Nchojiuliza ni kuwa,kama hizi Taasisi kubwa za kimataifa za uchunguzi wa viwango vya madini zinatoa matokeo yanayoshabihiana na yale ya ACACIA, sisi tutaumia Taasisi gani kuthibitisha madai/findings zetu?
Aisee inaonekana wameshaanza kujizatiti maake Barua zote ni za Mwezi wa Tano Mwaka huu na wa Sita Mwaka huu something is going on.

Pia hata huyu anayetumwa kuziweka humu siyo Mtanzania wa kawaida ametumwa kuendelea kuvuruga hali ya hewa
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
24,489
2,000
Ukifumbua macho acacia, ukifumba acacia, ukiblink acacia

Ukinywa maji unaona neno acacia kwenye maji, yaani unatamani kuwa kama acacia hata nawe ujilie bata... ndio maana unaumia roho kuona JPM anapiga kazi.
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
38,228
2,000
Aisee inaonekana wameshaanza kujizatiti maake Barua zote ni za Mwezi wa Tano Mwaka huu na wa Sita Mwaka huu something is going on.

Pia hata huyu anayetumwa kuziweka humu siyo Mtanzania wa kawaida ametumwa kuendelea kuvuruga hali ya hewa
Hili jambo sio local hivyo nio lazima tujue kinachoendelea kutoka kwa wenzetu.Hatuwezi kulimaliza jambo hili locally kama unavyofikiri.
 
PakavuNateleza

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
1,052
2,000
Hata upige kelele Gani, Hawa wezi tumewashika pabaya na Hawachomoki. Walichoenda kupima sicho walichokijaza kwenye Containers na tumechunguza na kujiridhisha walikuwa wanatuibia full stop
 
Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,694
2,000
Fungua hizi link uone barua za siku chache zilizopita moja ikiwa ni barua ya June 12 mwaka huu kutoka kwenye Taasi hizi kubwa za kimataifa zikithibitisha taarifa za ACASIA kuhuvu viwango vya madini katika makanikia.

http://www.acaciamining.com/~/media/Files/A/Acacia/Microsite/endorsements/en5-sgs.pdf

http://www.acaciamining.com/~/media...endent-testwork-of-bulyanhulu-concentrate.pdf

http://www.acaciamining.com/~/media...-MRI-letter-regarding-buzwagi-concentrate.pdf

http://www.acaciamining.com/~/media...I-letter-regarding-bulyanhulu-concentrate.pdf

Nachojiuliza ni kuwa,kama hizi Taasisi kubwa za kimataifa za uchunguzi wa viwango vya madini zinatoa matokeo yanayoshabihiana na yale ya ACACIA, sisi tutaumia Taasisi gani kuthibitisha madai/findings zetu?
Acacia wamekulisha nini?!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom