Kama TBC haioneshi Mechi ya Timu ya Taifa (Taifa Stars V J.Afrika ya Kati)..ni lipi lioneshe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama TBC haioneshi Mechi ya Timu ya Taifa (Taifa Stars V J.Afrika ya Kati)..ni lipi lioneshe?

Discussion in 'Sports' started by matunge, Mar 26, 2011.

 1. m

  matunge JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Inasikitisha kuona shirika la habari la Taifa (TBC) linashindwa kuonesha mechi muhimu ya Timu yetu ya Taifa. Na kutegemea shirika binafsi kuonesha.Duniani kote Shirika la umma ndilo linapaswa kuwa la kwanza kutumia njia yoyote ile ili kuonesha tukio la kitaifa.Hivi TBC na TFF mnafikiria nini katika hili? ni lazima mjue Taifa Stars ni timu ya watanzania wote na si wakazi wa Dar es Salaam tu.Mnapaswa kuhakikisha mnafikia makubaliano na kuwapa raha watanzania.Leo mmenisikitisha sana kutokuonesha mechi hii muhimu.Hivi mnafikiri ni kwa nini watu wanapenda sana ligi ya ulaya..hasa uingereza...moja ya sababu (pamoja na kuwa ni bora) ni kutangazwa sana. Sasa nyie mnafikiri sisi wa vijijini tutaipenda vipi Taifa Stars bila ya kuiona ikicheza???
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  KBC wanaonyesha game kati ya Angola na Harambee....TBC ni chombo cha wasanii tu.....................................
   
 3. m

  matunge JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  inasikitisha sana..japokuwa tunafurahia ushindi
   
 4. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hilo liko busy na ze komedi na propaganda wa watu wa ccm!! Hata wakionyesha siyo ajabu kukata matangazo ili kurusha hotuba zao au bunge. La muhimu ni kuwaomba vituo binafsi vijieneze nchi nzima.
   
 5. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,163
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  ...nafikiri ruzuku imepunguzwa sana sasa jeuri yote kwisha kazi!!!! wapo pale kisiasa zaidi na si kisasa zaidi!!
   
Loading...