Kama tangazo la ajira limeandikwa kwa Kiswahili, barua ya maombi ya kazi inapaswa kuandikwa kwa lugha ipi?

IMG_1999.jpg

Seheme ya tangazo
 
Kuna baadhi ya maeneo nimewahi kuona wanaandika kabisa wanataka barua iliyondikwa kwa mkono, Kama hizi za halmashauri baadhi huwa wanaweka wazi andika kwa mkono,

Ila Kama wahajsema hapo Sina jibu tuendelee kusubiri kutoka kwa wazoefu
 
Naomba kuuliza kama tangazo la kazi limeandikwa kwa kiswahili..je barua ya maombi ya kazi inapaswa kuandikwa kwa lugha ipiKiswahili au kingereza nimekwama apa jamani.
TUMIA LUGHA YA TANGAZO. UKIJIFANYA KUTUMIA KIINGEREZA ITAKULA KWAKO. HIYO NI LUGHA YA WATU. MAREHEMU MWENYEWE PAMOJA NA PROF.NDALICHAKO INAWATOA MAKAMASI SEMBUSE WEWE?!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom