Nami nasubiri jibu hapaMimi nauliza barua za kazi serikalin inaandikwa kwa mkono au typing
Naona wamegomaNami nasubiri jibu hapa
Hahaahah sio tatzo lakiniUkute mtoa mada umegraduate Chuo Kikuu kabisa
TUMIA LUGHA YA TANGAZO. UKIJIFANYA KUTUMIA KIINGEREZA ITAKULA KWAKO. HIYO NI LUGHA YA WATU. MAREHEMU MWENYEWE PAMOJA NA PROF.NDALICHAKO INAWATOA MAKAMASI SEMBUSE WEWE?!Naomba kuuliza kama tangazo la kazi limeandikwa kwa kiswahili..je barua ya maombi ya kazi inapaswa kuandikwa kwa lugha ipiKiswahili au kingereza nimekwama apa jamani.