Kama tangazo la ajira limeandikwa kwa Kiswahili, barua ya maombi ya kazi inapaswa kuandikwa kwa lugha ipi?

Wewe kweli umekwama. Hiyo kazi unayoomba ni ya Kiingereza au kazi ya Kiswahili?

Kama ni kazi ya Kiingereza tumia kiingereza kama ni ya Kiswahili tumia Kiswahili.
 
Naomba kuulza..kama tangazo la kaz limeandkwa kwa kiswahili..je barua ya maombi ya kaz inapaswa kuandikwa kwa lugha ip? Kiswahili au kingereza nmekwama apa jmn
Kama tangazo la kazi lilitolewa kwa kiswahili, basi hata kuomba kazi andika kwa kiswahili.
Lakini ikiwa tangazo la kazi limeandikwa kwa kimombo na kisha likatafasiriwa kwa kibantu.... Hapo nashauri andika barua kwa kimomb, kwasababu pale automatically utaelewa kwamba alietoa tangazo aliomba litafasiriwe ili watu waelewe kwa ufasaha zaidi.
 
Naomba kuulza..kama tangazo la kaz limeandkwa kwa kiswahili..je barua ya maombi ya kaz inapaswa kuandikwa kwa lugha ip? Kiswahili au kingereza nmekwama apa jmn
Tumia lugha ya kiswahili afu hujawa specific ni tangazo gani la kazi.
 
Namaanisha kwamba......
Haiwezekani ukakaa ndani kwenye maombi na usitoke nje kutafuta chakula eti ukitrajia kwamba, kwakua Mungu ndie unaemuomba basi hata chakula atakushushia.
sawa ni kweli....
sasa mshaur atumie lugha gani?
 
Naomba kuulza..kama tangazo la kaz limeandkwa kwa kiswahili..je barua ya maombi ya kaz inapaswa kuandikwa kwa lugha ip? Kiswahili au kingereza nmekwama apa jmn
Andika kwa kiswahili alafu utafsiri kwa lugha zote zilizopo hapa Duniani.
 
Back
Top Bottom