Ukute mtoa mada umegraduate Chuo Kikuu kabisaNaomba kuulza..kama tangazo la kaz limeandkwa kwa kiswahili..je barua ya maombi ya kaz inapaswa kuandikwa kwa lugha ip? Kiswahili au kingereza nmekwama apa jmn
Andika hata Kinyiha, ntafute HR, mpe laki tatu atakuelewa tuNaomba kuulza..kama tangazo la kaz limeandkwa kwa kiswahili..je barua ya maombi ya kaz inapaswa kuandikwa kwa lugha ip? Kiswahili au kingereza nmekwama apa jmn
No....... Kumbuka "shauku" bila "mikakati" is equal to zeromkuu kama ipo ipo tu tumia utayoimudu vizuri
sijakuelewaNo....... Kumbuka "shauku" bila "mikakati" is equal to zero
Kama tangazo la kazi lilitolewa kwa kiswahili, basi hata kuomba kazi andika kwa kiswahili.Naomba kuulza..kama tangazo la kaz limeandkwa kwa kiswahili..je barua ya maombi ya kaz inapaswa kuandikwa kwa lugha ip? Kiswahili au kingereza nmekwama apa jmn
Tumia lugha ya kiswahili afu hujawa specific ni tangazo gani la kazi.Naomba kuulza..kama tangazo la kaz limeandkwa kwa kiswahili..je barua ya maombi ya kaz inapaswa kuandikwa kwa lugha ip? Kiswahili au kingereza nmekwama apa jmn
Namaanisha kwamba......sijakuelewa
sawa ni kweli....Namaanisha kwamba......
Haiwezekani ukakaa ndani kwenye maombi na usitoke nje kutafuta chakula eti ukitrajia kwamba, kwakua Mungu ndie unaemuomba basi hata chakula atakushushia.
Mbona nimesha mshauri kitambo tu...sawa ni kweli....
sasa mshaur atumie lugha gani?
Kazi ya Video VixenTumia lugha ya kiswahili afu hujawa specific ni tangazo gani la kazi.
Ile kuna kuandika barua kweli mtoto akiwaka basiKazi ya Video Vixen
Andika kwa kiswahili alafu utafsiri kwa lugha zote zilizopo hapa Duniani.Naomba kuulza..kama tangazo la kaz limeandkwa kwa kiswahili..je barua ya maombi ya kaz inapaswa kuandikwa kwa lugha ip? Kiswahili au kingereza nmekwama apa jmn