Kama Takukuru wanakula Rushwa kuna haja gani ya kupinga rushwa?

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,019
3,881
Ni aibu sana;

Taasisi ambayo maafisa wake wamepewa jukumu la kuhakikisha kuwa rushwa inakuwa haramu nao wameingia kwenye mkumbo wa kuwa wala rushwa.

Niseme tu kwa sasa namsomea huyu jamaa mchezo yeye wacha ajilete tu na mimi nampelekea nzima nzima ila nsema hivi nikishamalizana na hii issue nitamfanyia kitu kibaya sana.

Yaani mimi nia risk usalama wangu ili nishiriki katika kupiga vita rushwa halafu yeye anataka tena kula hela yangu?Anafikiri mimi nimeshindwa kutoa hiyo hongo ili mambo yangu yaende?Sijashindwa nilitaka kuonyesha uzalendo ila yeye kanionyesha uchafu uliojaa na unafiki na mimi nitamuonyesha kuwa mimi ndio malendo nisiyeacha chenchi na hichi ndio nitakachofanya.

Kwanza nitampa hela anayotaka ili ajue kwamba kwangu hela sio shida.Kisha nitamfanyia soo chafu ambalo hajawahi kulipata na nitahakikisha yeye ananihonga mimi mara tano ya hela anayotaka sasa hivi na bado sitamuachia hivi hivi.

Inakera sana,ndio maana hata chadema walipokuwa na ile video ya mnyeti akitoa rushwa bado Kamishna wa tume alipuuza na baadaye yule mtu akawa promoted ni kwa sababu hii vita ya rushwa ni selektivu.

Sasa nimwambie yule afisa wa TAKUKURU niliyekuletea taarifa ya Rushwa nikihitaji uchukue hatua na kisha ukamtafuta yule jamaa niliyemripoti kimya kimya bila kujua kuwa na mimi nilikuwa nimeweka watu wakufuatilia sasa fahamu hivi.Ninazo taarifa kamili ya mpango wako na hiyo hela unayotakja nitakupeni ila nikimaliza ninawaanzishia tena nitawapa na biti ya maana halafu mtaelewa kwamba sisi wengine sio hao wajinga mnao waona huku mtaani.Pumbavu.
 
Mnyeti alipopewa ukuu wa mkoa ule ulikuwa ndo mwisho wa vita ya rushwa ktk awamu hii mengine maigizo.
Mkuu radika,nimepoteza muda wangu kuja hapa ofisi za hawa Makukuru halafu mpuuzi baada ya kumpa taarifa na yeye kaenda kimya kuongea na afisa ninayemripoti kisha anaanza kuniwekea mazingira ya pesa baada ya kuona jambo ninalofuatilia lina maslahi kwangu.Mbaya zaidi sasa ni kama vile wananiona kuwa niko desperate.Sasa mimi nimewaangalia nikawaambia nyinyi mnafikiri kwa sababu nina kichwa kidogo basi na akili zangu ni ndogo kumbe sivyo.Kwa sasa hawa jamaa wote wawili,mmoja wa TRA na mwingine wa TAKUKURU nimewaweka chini ya ufuatiliaji wa kina kwa kila issue yao nataka nihakikishe haka katabia kanawatokea puani.Wapumbavu kabisa
 
Ungewaweka live tu hao.Hakuna cha kupiga vita Rushwa wala ufisadi.Toka lini fisadi wa Raslimali zetu wapiga vita rushwa?
 
Mkuu radika,nimepoteza muda wangu kuja hapa ofisi za hawa Makukuru halafu mpuuzi baada ya kumpa taarifa na yeye kaenda kimya kuongea na afisa ninayemripoti kisha anaanza kuniwekea mazingira ya pesa baada ya kuona jambo ninalofuatilia lina maslahi kwangu.Mbaya zaidi sasa ni kama vile wananiona kuwa niko desperate.Sasa mimi nimewaangalia nikawaambia nyinyi mnafikiri kwa sababu nina kichwa kidogo basi na akili zangu ni ndogo kumbe sivyo.Kwa sasa hawa jamaa wote wawili,mmoja wa TRA na mwingine wa TAKUKURU nimewaweka chini ya ufuatiliaji wa kina kwa kila issue yao nataka nihakikishe haka katabia kanawatokea puani.Wapumbavu kabisa
mkuu hao siyo wakushindana nao. Kuwaweza nikupiga juju tuu
 
Ni aibu sana;

Taasisi ambayo maafisa wake wamepewa jukumu la kuhakikisha kuwa rushwa inakuwa haramu nao wameingia kwenye mkumbo wa kuwa wala rushwa.

Niseme tu kwa sasa namsomea huyu jamaa mchezo yeye wacha ajilete tu na mimi nampelekea nzima nzima ila nsema hivi nikishamalizana na hii issue nitamfanyia kitu kibaya sana.

Yaani mimi nia risk usalama wangu ili nishiriki katika kupiga vita rushwa halafu yeye anataka tena kula hela yangu?Anafikiri mimi nimeshindwa kutoa hiyo hongo ili mambo yangu yaende?Sijashindwa nilitaka kuonyesha uzalendo ila yeye kanionyesha uchafu uliojaa na unafiki na mimi nitamuonyesha kuwa mimi ndio malendo nisiyeacha chenchi na hichi ndio nitakachofanya.

Kwanza nitampa hela anayotaka ili ajue kwamba kwangu hela sio shida.Kisha nitamfanyia soo chafu ambalo hajawahi kulipata na nitahakikisha yeye ananihonga mimi mara tano ya hela anayotaka sasa hivi na bado sitamuachia hivi hivi.

Inakera sana,ndio maana hata chadema walipokuwa na ile video ya mnyeti akitoa rushwa bado Kamishna wa tume alipuuza na baadaye yule mtu akawa promoted ni kwa sababu hii vita ya rushwa ni selektivu.

Sasa nimwambie yule afisa wa TAKUKURU niliyekuletea taarifa ya Rushwa nikihitaji uchukue hatua na kisha ukamtafuta yule jamaa niliyemripoti kimya kimya bila kujua kuwa na mimi nilikuwa nimeweka watu wakufuatilia sasa fahamu hivi.Ninazo taarifa kamili ya mpango wako na hiyo hela unayotakja nitakupeni ila nikimaliza ninawaanzishia tena nitawapa na biti ya maana halafu mtaelewa kwamba sisi wengine sio hao wajinga mnao waona huku mtaani.Pumbavu.
Mkuu fanyizia kabisa hao majamaa..
Yanakera sana..
Pumbavu zao.
 
Mnyeti alipopewa ukuu wa mkoa ule ulikuwa ndo mwisho wa vita ya rushwa ktk awamu hii mengine maigizo.
Mkuu radika umenena haswaa..
Baada ya Mnyeti kupewa ile promotion..
Pale ndio ilikuwa hitimisho la vita ya rushwa kwa Nchi hii..
Hata jamaa kulitamka siku Hizi anaona noma.
 
Inasikitisha kusoma hayo

Ila hao wakubwa wa hapo wangetoa namba zao watu wawapigie hata kuwatumia ujumbe ili wafanye yao kikazi..

Pole Mzalendo.. ndio hivyo rushwa bado inashamili na watendaji wa JPM wengi ambao ni wakubwa wanajifanya hawaoni

Mimi bado na hao wapelelezi wa polisi wanakula tu pesa za watu na kula za watuhumiwa.. kesi zinaelea na hawafanywi wala kuulizwa kiofisi kazi zao zinakwendaje hata kufatiliwa

JPM anahitaji watu walio na vichwa vyenye exposure haswaaa hatajuta

Mtu unashitaki halafu kesho unaumia wewe kisa rushwa
 
Ingekuwa ni kweli kuwa magufuli anachukia rushwa angalau namba za hao takukuru zingekuwa wazi nchi nzima. Majuzi tukiwa Mwanza nilishangaa sana kuwa ile 113 haifanyi kazi kule! Au kuna mpya ambayo wengine hatuijui?
 
Rushwa imetapakaa sana halafu bado walalahoi wanaumizwa.

Huku rushwa. Kule mpina nae anachoma nyavu za wavuvi. Hata uwe mvuvi wa dagaa anataka uwe na nyavu yenye matundu ya sentimita 60. Sasa sijui utashika dagaa gani.

Kuwatia ufukara wanyonge na licheo lake la uwaziri..
 
Mkuu pole sana, lakini nadhani usingeleta humu maana wamejaa kama utitiri. Mtego wako hautamnasa tena vizuri. Na huwezi amini bado wanakula rushwa ya elfu 30-50 maeneo ya vijijini.
 
Ni aibu sana;

Taasisi ambayo maafisa wake wamepewa jukumu la kuhakikisha kuwa rushwa inakuwa haramu nao wameingia kwenye mkumbo wa kuwa wala rushwa.

Niseme tu kwa sasa namsomea huyu jamaa mchezo yeye wacha ajilete tu na mimi nampelekea nzima nzima ila nsema hivi nikishamalizana na hii issue nitamfanyia kitu kibaya sana.

Yaani mimi nia risk usalama wangu ili nishiriki katika kupiga vita rushwa halafu yeye anataka tena kula hela yangu?Anafikiri mimi nimeshindwa kutoa hiyo hongo ili mambo yangu yaende?Sijashindwa nilitaka kuonyesha uzalendo ila yeye kanionyesha uchafu uliojaa na unafiki na mimi nitamuonyesha kuwa mimi ndio malendo nisiyeacha chenchi na hichi ndio nitakachofanya.

Kwanza nitampa hela anayotaka ili ajue kwamba kwangu hela sio shida.Kisha nitamfanyia soo chafu ambalo hajawahi kulipata na nitahakikisha yeye ananihonga mimi mara tano ya hela anayotaka sasa hivi na bado sitamuachia hivi hivi.

Inakera sana,ndio maana hata chadema walipokuwa na ile video ya mnyeti akitoa rushwa bado Kamishna wa tume alipuuza na baadaye yule mtu akawa promoted ni kwa sababu hii vita ya rushwa ni selektivu.

Sasa nimwambie yule afisa wa TAKUKURU niliyekuletea taarifa ya Rushwa nikihitaji uchukue hatua na kisha ukamtafuta yule jamaa niliyemripoti kimya kimya bila kujua kuwa na mimi nilikuwa nimeweka watu wakufuatilia sasa fahamu hivi.Ninazo taarifa kamili ya mpango wako na hiyo hela unayotakja nitakupeni ila nikimaliza ninawaanzishia tena nitawapa na biti ya maana halafu mtaelewa kwamba sisi wengine sio hao wajinga mnao waona huku mtaani.Pumbavu.
uko sahhihi kabisa TAKUKURU ni wala rushwa namba moja nchini..... llabda kiundwe chombo huru cha kuwasimamia.
 
Kama Boss mkubwa alisema 5000 sio hongo ni hela za ku brash viatu unawaza nini kwa TAASISI ZA seeikali yake
 
Back
Top Bottom