Kama Taifa, viongozi wetu wasituchukulie sisi kama watoto wadogo

Kama watu ambao ndio walikuwa wanapigia kelele hayo mambo ya Magufuli katika suala la Corona ndio hao hao wakati wa uchaguzi nao wakaungana na Magufuli halafu sasa hivi baada ya uchaguzi kuisha ndio wanarudia kumsema Magufuli,wakati mwengine wananchi nao huwa ni sehemu ya Tatizo.
Wananchi wakiwa ni sehemu ya tatizo, kiongizi anatakiwa kuwaongiza vizuri.

Sasa kwetu mpaka kiongozi tatizo.
 
brazaj, you do not deserve to a Tanzanian with such personal hatred oriented thread It is better you quit to your favarable destination and secure teh vaccination you eagerly long for. We fed up with skeptical and pseudo opinions that are entirely clouded with stereotype political advancement irrelevant to the safety, healthy guaranteed and citizens progress.

The adversaries of the country are have inadvertently decided to use you as mouth piece promoting the haters their biological lethal weapons targetting to eliminate the theird world habitants.

You are doomed by dancing teh tune of the serpent...................

Stupid as you are, you think you have the right to decide who deserves to be a Tanzanian. Very Stupid Mentality!

Furthermore to your stupidity, you think you are the one who rightly deserve to be a Tanzanian.

What a mediocre?!

The ugly truth is, "apart from notifying you of your petty egocentricity you deserve no merit to be addressed on any other issue.

Idiot!
 
Wananchi wakiwa ni sehemu ya tatizo, kiongizi anatakiwa kuwaongiza vizuri.

Sasa kwetu mpaka kiongozi tatizo.
Kiongozi ameshajulikana toka zamani kuwa ana matatizo, sasa sisi baada ya kulijua hilo ndio kwanza tunazidi kuongeza matatizo,kaanza kusema hakuna corona watu wakashangaa na kumkosoa kama wanavyofanya sasa hivi ila baadaye nao wakaungana nae na yeye baad ya kuliona hilo sasa anazidi kwenda mbele zaidi. Itakuwa ni kazi bure kama tukiwa humu mitandaoni tunamkosoa kiongozi yetu ila tukiingia huko mitaani tunaungana nae katika yaleyale tunayomkosoa mitandaoni.
 
Jomba kwa nn usijitolee kwanza ukapate hiyo chanjo then uje tukudunge na covid tukutest tuone kwanza matokeo kabla ya sisi wengine kuanza kuitumia..usitake miili yetu ikawa ndio testing bodies..koma kabisa

Covid ya kudunga mtaipata wapi? Kwani Mungu alisha hamisha makao yake Tanzania?
 
Mkuu vipi hali za barabara zetu huko Kagera

Nina subiri updates tokea kwa washirika. Ila tangia 2015 na kila mwaka separately mzee baba husema anajenga hiyo barabara kwa maana pesa anazo.

Ajabu na kweli na mwaka huu kama vile alishasahau alisema je 2015, 2016, ..., na 2020 yasemekana na mwaka huu kasema hivyo hivyo ziarani Kagera.

Labda bado ana jambo lake chattle.
 
Mimi nlikua najiuliza kale ka maiki kilichotumika kuwafokea mabeberu nani kakitengeneza kama sio hao hao mabeberu. Yaaani hisia za mtu analazimisha ziwe msimamo wa taifa dah!!
 
We beba familia yako ukaipate hiyo chanjo tuone km hujarudi na mtindio wa akili.

Iv mkuu unashirikisha ubongo kweli ? kipi ambacho unatumia especially madawa hakijatoka kwa wazungu ? you guys mnanini kichwani ? Ndio mana TL alishawah kusema Tanzania haijawah kupata mtu wa ajabu kama magufuli.

Unazijua chanjo za watoto ? zinatengenezwa wapi ? kama wazungu walikuwa wanataka kutumaliza wangeanza na hizo ambazo mtoto akizaliwa lazima apewe, na zina toka ulaya na ni kwa msaada, yan magufulia anawadanganya mchana kweupe na mnaingia kingi ?
 
Kiongozi ameshajulikana toka zamani kuwa ana matatizo, sasa sisi baada ya kulijua hilo ndio kwanza tunazidi kuongeza matatizo,kaanza kusema hakuna corona watu wakashangaa na kumkosoa kama wanavyofanya sasa hivi ila baadaye nao wakaungana nae na yeye baad ya kuliona hilo sasa anazidi kwenda mbele zaidi. Itakuwa ni kazi bure kama tukiwa humu mitandaoni tunamkosoa kiongozi yetu ila tukiingia huko mitaani tunaungana nae katika yaleyale tunayomkosoa mitandaoni.
Kiongozi ana matatizo vipi wakati anawaambia watu waombe Mungu atawasaidia waishinde Corona?

Wewe humuamini Mungu?
 
Mabibi na mabwana sisi ni taifa na kama taifa cheo ni dhamana tu.

Kiongozi yeyote kwa uongozi wake ni muhimu akazingatia ukweli kuwa kwa dhamana aliyo nayo si kuwa sasa eti ndiyo anayo fursa kamili ya kufanya au hata kusema lolote kwa kuwa tu eti dhamira yake itakuwa imemtuma huko....
Kwa hiyo mnalilia chanjo??

Chanjo zenyewe hizi???
IMG-20210127-WA0036.jpg

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi ana matatizo vipi wakati anawaambia watu waombe Mungu atawasaidia waishinde Corona?

Wewe humuamini Mungu?
Kuomba Mungu sio kwenye corona tu hata kwenye maradhi mengine watu huwa wanamuomba Mungu,lakini pia hata kwenye majukumu yetu ya kila siku pia huwa watu wanamuomba Mungu ndio maana hata viapo vya hao viongozi mwisho humalizia kwa kuomba Mungu awasaidie. Hivyo hakuna cha ajabu kumuomba Mungu katika maradhi ya corona.

Ila tatizo la Magufuli ni kwamba aliacha kwanza kupima corona na hivyo kukawa hakuna takwimu za corona kisha baadaye akaja kusema hakuna tena corona imeondoka kwa madai Mungu kaiondoa kutokana na madai waliyofanya. Sasa watu ambao walikuwa wakipinga hilo suala na kusema corona bado ipo haiwezi kuondoka kwa maombi ndio hao hao uchaguzi ulipokaribia nao wakadai corona imepungua ikawa huwezi kuwatofautisha wao na wale wenye kuamini corona imeondoka kwa maombi.
 
Kuchanjwa tu kungali mwacha jemedali wetu salama.

Kweri kibri si maungwana!

Hii ndio hasara ya mfumo unaompa Rais madaraka yote kiasi cha kudai: hashauriwi, hajaribiwi, hapangiwi. Ameishia kujidhuru mwenyewe kwa maamuzi mabovu kuhusu corona. Hakukuwa na wa kumdhibiti/kumzuia asitumbukie shimoni.

Bahati mbaya sana hakupata second chance kama Boris Johnson wa UK. CCM walipe kipaumbele suala la katiba mpya kama wanataka kulilinda taifa na majanga yasiyo na sababu huko mbeleni. Hata viongozi wetu wanaweza kuwa maadui wa taifa - wasipodhibitiwa.
 
Inasikitisha sana.

Tulipiga kelele sana kwa maisha ya wote yakiwamo yao.

Katiba mpya ni muhimu sana lakini kwa sasa barakoa na kupambana na ugonjwa huu ni muhimu zaidi.
 
Mabibi na mabwana sisi ni taifa na kama taifa cheo ni dhamana tu.

Kiongozi yeyote kwa uongozi wake ni muhimu akazingatia ukweli kuwa kwa dhamana aliyo nayo si kuwa sasa eti ndiyo anayo fursa kamili ya kufanya au hata kusema lolote kwa kuwa tu eti dhamira yake itakuwa imemtuma huko.

Rais wetu kutaka kutuaminisha kuwa chanjo ya corona inaweza kuwa na walakini kwa kuwa tu imetengenezwa na anaowaita mabeberu ni jambo lisilokubalika.

Kwani ni chanjo ipi au dawa ipi ambayo haitengenezwi na mabeberu? Kama ana mashaka hayo kwanini hajawahi kusema lolote kwenye chanjo za polio, Pepo punda, ndui, nk?

Ieleweke kuwa kutofautiana kwa mawazo ni jambo la kheri wala si uhaini.

"Kama watoto mapacha hufikia hatua ya kutokuelewana. Sembuse mimi na wewe Neema?"

Sisi: mmoja mmoja na kwa jumuiya mbali mbali zikiwamo wana harakati, madhehebu za dini, wasomi, nk kwa roho safi ni muda sasa wa kumhitaji mheshimiwa huyu kubadili uelekeo.

Kwa hakika, kuunyamazia uelekeo huu ni kuyaweka maisha yetu wenyewe hatarini pasipo na uhalali wowote.

Ninawasilisha.
Hakuna haja ya kuongelea chanjo,maana hata baadhi ya nchi za ulaya wameanza kuzikataa. Zinafanya damu kuganda
 
Back
Top Bottom