Kama taifa tusali Benki ya Dunia itupe $500M

Hakuna kiongozi anayetokea tu from nowhere. Tusazimishe mambo. Kila kiongozi anakuja kwa wakati wake na sababu zake.
Usaliti hujaanza leo. Tunajua nini alifanya Yuda Iskariote baada ya kufikiria kupata zile hela atakuwa amepiga bingo.
Unajisikiaje kila mtu anaadhibiwa sababu ya kamali za kisiasa?

Hili ni mihemko ya kishamba kweli kweli. Mnaweza kufanya lolote mtakalo hata leo, taasisi kubwa kama World Bank imsikilize raia mmoja kisha ichukue maamuzi ya kusitisha mkopo? Kama wameweza kumsikiliza raia mmoja kisha wakafanya maamuzi, nendeni kumi muwatake wawape huo mkopo. Mnadhani mkitaka kupotosha shida iko wapi ndio tutashindwa kuelewa shida ilipo kisha tuamini huo upotoshaji wenu?
 
Hatuwezi kuwa na roho ya kimaskini ya kuombaomba.

Serikali inanishangaza sana kushupalia hela za mabeberu. Achaneni nazo watumie wenyewe.

Ama sivyo kama serikali ipo taabani iseme ili sisi wananchi tuongeze michango yetu.

Tushirikiane na mabeberu kwa kuuziana bidhaa,huduma ama teknolojia. Lakini siyo hili la kuwa omba omba.

Heri tuwaambie BARICK kwenye ile 50 kwa 50, economic benefits watugawie sasa tutatue shida zetu.

Hii nchi ni tajiri. Wasitubabaishe hao welidi benki..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh kwani Bureau zipo wazi bado

Wewe Wachumi wenzako walisema sababu ni bureau ndio maana forex inafluctuate

Wewe umekuja na ngonjera zako mpya, Sasa mafuta yakipanda si kwa Chadema tu

Hili la forex kuyumba ni kutokana na Mbowe kuwa mwenyekiti Chadema

CCM mambo ya bei wao kwao sheli hununua kwa punguzo maalum

Mkuu njoo ccm ule maisha, sokoni bidhaa unapewa bure
Ndugu zangu kuna wakati yatupasa kuacha siasa maji taka nakuliangalia taifa kwa jicho la huruma.

Hizi pesa serikali imeziomba WB ni pesa ambazo zitatusaidia sana katika ku balance our Balance of payment kwasababu sisi tuna import more than export mnaweza cheka na kupeana heko ila wote tutaumia na tusiwe wapumbavu kufurahia jambo hili pale utakapoenda sokoni kununua kiredio cha Tsh 5k kwa 20k ndipo utajua yapo mambo sio ya kufanya utani.

USD inapanda kwa speed kubwa hii sio picha nzuri sasa tusiwe wajinga kutamani kuona WB wanatunyima hizi pesa.

USD kwa sasa imefika 2327 ina maana batch ya mafuta ijayo wese litapanda sio kushuka sasa huu mkopo wa $500MUngetupooza kiukweli.

Let us pray for this nation.
 
And do you think you are poorer? Kukopa hata US inakopa tena kwa viwango vya kutisha. Hizi shule zetu zitusaidie kufikiria. Naona kama tunakariri tu
Lakini hupaswi kulazimisha mkopo. Kama lender hataki sasa ya nini.

Waende hata ADB, ama benk za ndani nmb,crdb,tpb,nbc, barclays,std chart etc kwa kolabo lao wataweza kutupatia hizo hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kiongozi anayetokea tu from nowhere. Tusazimishe mambo. Kila kiongozi anakuja kwa wakati wake na sababu zake.
Usaliti hujaanza leo. Tunajua nini alifanya Yuda Iskariote baada ya kufikiria kupata zile hela atakuwa amepiga bingo.
Unajisikiaje kila mtu anaadhibiwa sababu ya kamali za kisiasa?
Usisahau msemo wa wahenga samaki moja akioza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu kuna wakati yatupasa kuacha siasa maji taka nakuliangalia taifa kwa jicho la huruma.

Hizi pesa serikali imeziomba WB ni pesa ambazo zitatusaidia sana katika ku balance our Balance of payment kwasababu sisi tuna import more than export mnaweza cheka na kupeana heko ila wote tutaumia na tusiwe wapumbavu kufurahia jambo hili pale utakapoenda sokoni kununua kiredio cha Tsh 5k kwa 20k ndipo utajua yapo mambo sio ya kufanya utani.

USD inapanda kwa speed kubwa hii sio picha nzuri sasa tusiwe wajinga kutamani kuona WB wanatunyima hizi pesa.

USD kwa sasa imefika 2327 ina maana batch ya mafuta ijayo wese litapanda sio kushuka sasa huu mkopo wa $500MUngetupooza kiukweli.

Let us pray for this nation.
Tusali kuomba hela ya "mabeberu?" Au leo wamebadilika na kuwa malaika????
 
Serikali ya mtaa watu walinyuti
Ikapita kwa shangwe flani

Mishahara haijapanda aka 3
Watu wamenyuti

Kura zetu si kwaajili ya hili taifa
Huezi jimwambafai ww ndo masiha wa Tz

Pia mkwanja wa WB usipotoka hatutauliza

Nchi tajiri hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi equity bank visa card miaka yote wananibadilishia dola moja kwa 2444. Inanitosha kwa manunuzi yangu ya mtandaoni.

Citu vikipanda bei tuta adapt tu. We humans are good at that
 
Ndugu zangu kuna wakati yatupasa kuacha siasa maji taka nakuliangalia taifa kwa jicho la huruma.

Hizi pesa serikali imeziomba WB ni pesa ambazo zitatusaidia sana katika ku balance our Balance of payment kwasababu sisi tuna import more than export mnaweza cheka na kupeana heko ila wote tutaumia na tusiwe wapumbavu kufurahia jambo hili pale utakapoenda sokoni kununua kiredio cha Tsh 5k kwa 20k ndipo utajua yapo mambo sio ya kufanya utani.

USD inapanda kwa speed kubwa hii sio picha nzuri sasa tusiwe wajinga kutamani kuona WB wanatunyima hizi pesa.

USD kwa sasa imefika 2327 ina maana batch ya mafuta ijayo wese litapanda sio kushuka sasa huu mkopo wa $500MUngetupooza kiukweli.

Let us pray for this nation.
"Mashetani" katika ubora wao
 
FROM DONNAR COUNTRY TO LOAN PRAYER COUNTRY, INAWEZEKANA LUMUMBA NI NEWLY INAUGURATED MILEMBE BRANCH.
 
Back
Top Bottom