Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 680
- 1,338
Salaam wanasafu!
Jana Mh Rais akihutubia kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani alisema ahadi yake ipo pale pale ya kuongeza misharaha lakini tuvute subra.
Hoja yake ya msingi ikiwa sasa anajikita zaidi kwenye kupunguza gharama za maisha kwa wafanyakazi na Watanzania kwa ujumla.
Nadhani akifanikiwa hili na naamini atafanikiwa tu bei za nafaka zishuke,Dollar isipande na bei ya mafuta ishuke zaidi ili akija kuongeza mshahara basi hapo tutaona unafuu wa maisha kwa wafanyakazi na Watanzania wote.
Nadhani ni jambo muda mfupi tu tumpe Rais wetu ushirikiano wa kutosha kwa mustakabhali wa Taifa letu
Uzalendo kwanza.
Alex Fredrick
Dar es salaam
0758 308494 maoni na ushauri