Kama Taifa tujitafakari, ni haki neno "dot.tz" ikulaze rumande?

Daaaaaaaaah,kwa hiyo mshkaji Mexence bado anashikiliwaa,daaaaaah,something is very wrong in current leadership style,vyombo vya kutenda haki vinakandamiza haki
Mdogo wangu nilikuacha la tano b miaka ile sikujua kuna wakati ungekuja kujulikani hivi ila mola atakutoa mkuu tupo nyuma yako nilikuwa nje mda mrefu nimeingia jana naambiwa wewe ni mharifu napata shida kidogo
 
Tatizo sio dot.tz bali utekelezaji wa kauli ya mkuu ya kufungia mitandao ya jamii.
 
Bora hata za kishamba, hizi ni za kishetani kabisa. Mtu aliyeanzisha na kuuendeleza mtandao ambao umeisaidia sana nchi hii katika kufichua mambo mengi mabaya kwa faida ya nchi hivi kweli badala ya kuwa shujaa anafanyiwa ukatili wa aina hii kama vile ni mhaini?
Mangapi ambayo yamefichuliwa hapa JF yameiokoa nchi na hasara kubwa? Elimu kiasi gani watu wamepeana humu na imetumika kusaidia nchi? Wangapi wameutumia mtandao huu kuipigia kampeni serikali iliyoko madarakani hadi kufanikiwa kuingia madarakani? Ni mengi ya kutaja.
Waziri wa habari Nape mwenyewe ni member humu tena verified, waziri wa mambo ya ndani Mwigulu, Mazingira Makamba, Waziri Kigwangwala wote hao ni verified na wameutumia mtandao huu kujijenga kisiasa lakini malipo kwa Founder wake ni hayo ya kishetani hadi njama kwenye dhamana. Kweli ni watu hao?
Hata wale wapenzi wa CCM walio waungwana kwa kweli wamechukizwa na kushangazwa na mwenendo huu wa serikali yao dhidi ya watu walio wema. Wenye akili watajua kuwa kuna siku nao wawatafunwa na shetani hilo
Kweli tupu
 
Ni upumbavu wa hali ya juu kwa upande wao, nchi yetu imepoteza dira chini ya Magufuli na ni jukumu letu sote wananchi kusimama kidete na kumpinga kwenye sera na miongozo yake yote isiyo ya kidemokrasia na iliyojaa udikteta.
[HASHTAG]#freemaxencemello[hashtag][/HASHTAG]
 
Bora hata za kishamba, hizi ni za kishetani kabisa. Mtu aliyeanzisha na kuuendeleza mtandao ambao umeisaidia sana nchi hii katika kufichua mambo mengi mabaya kwa faida ya nchi hivi kweli badala ya kuwa shujaa anafanyiwa ukatili wa aina hii kama vile ni mhaini?
Mangapi ambayo yamefichuliwa hapa JF yameiokoa nchi na hasara kubwa? Elimu kiasi gani watu wamepeana humu na imetumika kusaidia nchi? Wangapi wameutumia mtandao huu kuipigia kampeni serikali iliyoko madarakani hadi kufanikiwa kuingia madarakani? Ni mengi ya kutaja.
Waziri wa habari Nape mwenyewe ni member humu tena verified, waziri wa mambo ya ndani Mwigulu, Mazingira Makamba, Waziri Kigwangwala wote hao ni verified na wameutumia mtandao huu kujijenga kisiasa lakini malipo kwa Founder wake ni hayo ya kishetani hadi njama kwenye dhamana. Kweli ni watu hao?
Hata wale wapenzi wa CCM walio waungwana kwa kweli wamechukizwa na kushangazwa na mwenendo huu wa serikali yao dhidi ya watu walio wema. Wenye akili watajua kuwa kuna siku nao wawatafunwa na shetani hilo
Lack of ordinations ya hizi organs itaacha aibu kubwa sana kwa taifa letu. Eti kinyume cha sheria, na hawa wajiuzuru basi na kupelekwa mbele za sheria! Ni aibu.
cc: Anna Tibaijuka (Prof)
 
Africa bado sana..wakati ilitakiwa kuongea na max ili kujua kama mtandao unatumiwa vbaya basi urekebishwe kw manufaa ya taifa kama wanavo fikiria wenyewe.... Tz safari bado ndefu ilianzia na iyo cybercrime cjui iliishia wapi then wakaja eti kufunga cm fake nayenyewe cjui imeishia wapi yaani mungu wasimamie tz
 
Ionwe na wapwa Elli na MANI.

Bora hata za kishamba, hizi ni za kishetani kabisa. Mtu aliyeanzisha na kuuendeleza mtandao ambao umeisaidia sana nchi hii katika kufichua mambo mengi mabaya kwa faida ya nchi hivi kweli badala ya kuwa shujaa anafanyiwa ukatili wa aina hii kama vile ni mhaini?
Mangapi ambayo yamefichuliwa hapa JF yameiokoa nchi na hasara kubwa? Elimu kiasi gani watu wamepeana humu na imetumika kusaidia nchi? Wangapi wameutumia mtandao huu kuipigia kampeni serikali iliyoko madarakani hadi kufanikiwa kuingia madarakani? Ni mengi ya kutaja.
Waziri wa habari Nape mwenyewe ni member humu tena verified, waziri wa mambo ya ndani Mwigulu, Mazingira Makamba, Waziri Kigwangwala wote hao ni verified na wameutumia mtandao huu kujijenga kisiasa lakini malipo kwa Founder wake ni hayo ya kishetani hadi njama kwenye dhamana. Kweli ni watu hao?
Hata wale wapenzi wa CCM walio waungwana kwa kweli wamechukizwa na kushangazwa na mwenendo huu wa serikali yao dhidi ya watu walio wema. Wenye akili watajua kuwa kuna siku nao wawatafunwa na shetani hilo
 
img-20161216-wa0014-jpg.446789
What an innocent face,time will tell brother!
 
Badala ya kumsaidia kuwa na brand itakayomsaidia kuitangaza Tanzania, eti anapelekwa mahakamani.

Hiyo Tanzania ya viwanda tutaifikia vipi? JF ni the leading website in east and central Africa, serikali inakiwa iwapromote na sio kuwakatisha tamaa
 
CCM inafanya siasa za kishamba sana !
Ninyi ndio washamba zaidi ya CCM. Maneno meeeengi mtandaoni, Melo ameishia kujidhamini kesi mbili na moja kakosa wadhamini.

Ninyi humu kila sekunde porojo tu. Unafikiri ndio zitakazosaidia. My foot!!!

Kwanza Ben yuko wapi?
 
Badala ya kumsaidia kuwa na brand itakayomsaidia kuitangaza Tanzania, eti anapelekwa mahakamani.

Hiyo Tanzania ya viwanda tutaifikia vipi? JF ni the leading website in east and central Africa, serikali inakiwa iwapromote na sio kuwakatisha tamaa
Roho zetu za korosho mkuu...
 
Ninyi ndio washamba zaidi ya CCM. Maneno meeeengi mtandaoni, Melo ameishia kujidhamini kesi mbili na moja kakosa wadhamini.

Ninyi humu kila sekunde porojo tu. Unafikiri ndio zitakazosaidia. My foot!!!

Kwanza Ben yuko wapi?
Wanaccm wanafurahia sana matatizo ya jf
 
Back
Top Bottom