Kama Taifa tujitafakari, ni haki neno "dot.tz" ikulaze rumande?

Wakitaka kukubambikia kesi Mkuu hata ikiwa dot tz watatafuta lingine la kukubambikizia ili watimize mradi wao wa kishetani tena bila hata aibu wala woga.

Mimi naona ni kichekesho na ni "kamchezo"

Kwa nini mkuu qa mahakama ya kisutu alizitawanya kesi kwa mahakimu tofauti japo hazina utofauti?

Kama kajidhamini mahakamani hapo kwa kesi mbili zinazofanana,kwa nini dhamana hiyo,kwa busara ikaenda kwenye kesi ya tatu?

Kwa nini kwenye dhamana wanageukana lakini tarehe ya kesi walikubaliana ikawa tarehe moja? Je kwa kuwa tarehe ya kesi ni moja,kwa kesi zote tatu,je angeruka dhamana kwenye kesi moja wakati angekuja kwenye zile mbili?

Nadhani sasa jaji mkuu atolee tamko huu mwenendo unaokanganya katika mahakama zetu

Yaani kesi ya dot tz ambayo hata kutoandikwa kwake hajuamdhuru mtu nalo linalaza mtu rumande? Ni hatari kwa usalama wa nchi? Ni mauaji?
 
Bora hata za kishamba, hizi ni za kishetani kabisa. Mtu aliyeanzisha na kuuendeleza mtandao ambao umeisaidia sana nchi hii katika kufichua mambo mengi mabaya kwa faida ya nchi hivi kweli badala ya kuwa shujaa anafanyiwa ukatili wa aina hii kama vile ni mhaini?
Mangapi ambayo yamefichuliwa hapa JF yameiokoa nchi na hasara kubwa? Elimu kiasi gani watu wamepeana humu na imetumika kusaidia nchi? Wangapi wameutumia mtandao huu kuipigia kampeni serikali iliyoko madarakani hadi kufanikiwa kuingia madarakani? Ni mengi ya kutaja.
Waziri wa habari Nape mwenyewe ni member humu tena verified, waziri wa mambo ya ndani Mwigulu, Mazingira Makamba, Waziri Kigwangwala wote hao ni verified na wameutumia mtandao huu kujijenga kisiasa lakini malipo kwa Founder wake ni hayo ya kishetani hadi njama kwenye dhamana. Kweli ni watu hao?
Hata wale wapenzi wa CCM walio waungwana kwa kweli wamechukizwa na kushangazwa na mwenendo huu wa serikali yao dhidi ya watu walio wema. Wenye akili watajua kuwa kuna siku nao wawatafunwa na shetani hilo
Hata ajenda ya ufisadi ya mkuu imeanzia humuhumu
 
Wasome wote akili zao mifuko na wanawatumikia wanasiasa. hii ni Aibu kwa Taifa letu Masikini Tanzania.
 
Huko njombe kuanzia usiku wa leo watoto watakao zaliwa wameamua kuwaita eti..... .tz.com
 
Kuna roho chafu inayotawala awamu hii inayowafanya wenye madaraka au kwa jina jingine "watoa maelekezo kutoka juu" waweke pembeni sheria za nchi na katiba halafu waamue kufanya mambo wanavyotaka wao.
This primitive tendency will backfire with time.
Huu ni ushauri kutoka jirani
 
Hakuna dhambi kumbwa hapa dunia kama kua mwoga na kukaa kimya. Kujifanya hayakuhusu, au mimi niko upande wa watawala, wakimaliza kwa wanaotofautiana nao itakua zamu yako.
 
Shida ya kutoka porini na kuja mjini na shangazi kaja halafu mnampa kazi kubwa kuliko na uwezo wake.

Hayo ndo matokeo yake.
 
Wanasema kesi ya ngedere hakimu nyani....
Nimefarjika amepelekwa gereza la keko, walichomnyima ni uhuru tu, wana kibao kule leo Max ni kama mfalme pande zile na maji ya kutosha.

Kwa wanaume hatutishwi na mitihani hii. Kuna Masheikh wapo kule kosa lao ni kusimamia kweli tu.

Mungu yupo, kuna jamaa wa Tcra nimemuona kwenye runinga akitamba kwamba hawatamvumilia yeyote, ila hasisahau CAG huwa anapita kukaguwa mahesabu ofisi za umma ahakikishe hesabu zake ziko sawasawa, sheria ni msumeno.

Jela haijaandikiwa wateule, nilidhani wapo waliojifunza kwa kejeri za Mramba kwamba Watanzania wale nyasi lakini ndege ya mkulu lazima inunuliwe, finally aliionja lupango, kama hawajajifunza hata kwa Masha aliyenunuwa hayo mabasi ya Prison na yeye akapandishwa humohumo basi time will tell.

Max is our hero.
 
Bora hata za kishamba, hizi ni za kishetani kabisa. Mtu aliyeanzisha na kuuendeleza mtandao ambao umeisaidia sana nchi hii katika kufichua mambo mengi mabaya kwa faida ya nchi hivi kweli badala ya kuwa shujaa anafanyiwa ukatili wa aina hii kama vile ni mhaini?
Mangapi ambayo yamefichuliwa hapa JF yameiokoa nchi na hasara kubwa? Elimu kiasi gani watu wamepeana humu na imetumika kusaidia nchi? Wangapi wameutumia mtandao huu kuipigia kampeni serikali iliyoko madarakani hadi kufanikiwa kuingia madarakani? Ni mengi ya kutaja.
Waziri wa habari Nape mwenyewe ni member humu tena verified, waziri wa mambo ya ndani Mwigulu, Mazingira Makamba, Waziri Kigwangwala wote hao ni verified na wameutumia mtandao huu kujijenga kisiasa lakini malipo kwa Founder wake ni hayo ya kishetani hadi njama kwenye dhamana. Kweli ni watu hao?
Hata wale wapenzi wa CCM walio waungwana kwa kweli wamechukizwa na kushangazwa na mwenendo huu wa serikali yao dhidi ya watu walio wema. Wenye akili watajua kuwa kuna siku nao wawatafunwa na shetani hilo
Yana mwisho haya.
 
Sasa naelewa kwa nini nyerere aliyaacha majitu ya mahakama kwenye majengo chakavu
Nimecheka Sana'a halafu uwakute sasa na yale Makofia kichwani!! Utadhani wamefunika dhahabu mle ndani, kumbe nanihii tupu
 
Back
Top Bottom