Kama tabia za Wapinzani ni hizi, bora tusione kabisa Bunge

tazameni jinga hili!
hahaaha Mjinga ni wewe na kizazi chote cha ukawa Hoja za Msingi za kutetea wananchi waliowachagua ziko nyingi sana iweje mnapigania hoja muonyeshwe kkwenye TV. hicho ndicho mlichotumwa na Watanzania?

#HapaKaziTuSuraKauzeKwaBashaWako
 
NAPATA KUELEWA WABUNGE HAWAJUI WANANCHI WAO WALIOWACHANGUA WANATAKA NINI ,NA NDO MAANA WANAPAMBANA KWA NGUVU ZOTE KUONEKANA TBC LKN LAKINI HAWAPAMBANI TBC HIYO HIYO KUWAONYESHA WAKIFANYA MIRADI YA MAENDELEO MAJIMBONI KWAO,
NAWAPA MFANO WA MTU ALITEFANIKIWA SANA JIMBONI

MAREHEMU LUNJOMBE ALIPAMBANA SANA TBC KUMUONYESHA AKISHIRIKI MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE NA KUPATA HESHIMA KUBWA KURIKO WANATAKA KUONEKANA TBC NA KUISHI DR WAKIFANYA MAMBO YAO,
 
Kuna vyama vinajua wafuasi wao wanapenda upumbavu tu so live coverage ndo platform ya ku-practice huo upumbavu wao ili wapate kiki.

Hakuna umuhimu wowote wa live coverage kwa bunge lililojaa mipasho tu na kutetea matumbo yao.

Mara mia kodi yangu itumike kurusha live coverage ya FUTUHI kuliko hao jamaa.

Hiyo 4billion ipelekwe kwenye mpango wa 50million kila kijiji.
 
Kuna kitu tunamiss hapa!! Kama kweli wananchi wengi wanaangalia bunge! It means coverage ni kubwa!! na ni fursa kwa TV station kuingia! Matangazo yatalipa! TV binafsi ziombe fursa hiyo!! Then tupime!! other kama ndio kodi za wananchi zinatumika tu evaluate tija yake!! Kumbukeni tunabana matumizi kipindi ili ku finance matumizi yeny tija kwa maendeleo yetu sote!!
 
Si wameshatoa sababu? Halafu ningekuombs usijibu bila kusoma habari maana naona umejibu kichwa cha habari lakini hujasoma main habari
hakuna cha kubana matumiz wala nini.hapo nikutaka kupitisha miswada kibabe ya kipuuz kwa kuburuza bunge.alafu tbc wapate nafas ya kuchakachua habari na kuwarushia zile zinazowapa matumain.lakin hapo hakuna hata mtu moja wa ccm anaweza kutuchambulia matumiz yatakavyobanwa kwenye issue hii.hii sasa imezidi naninashaur wakijifanya kupitisha kibabe sheria hii kama kawaida yao watanzania na taasisi za kiraia tuungane kutoka kupinga ujinga huu kwa nguvu zote.na ndio watanzania tujue ccm haina mwema hata siku moja.na lau hata akija leo malaika akiingia ccm lazma awe shetan.
 
1. billion 4 kwa kuwa live.
2. muda wa kazi watu kuangalia bunge
3. maadili yaonekanayo kwa waheshimiwa hawa kwa taifa
4. Bunge kurekodiwa na kuonyeshwa wakati watu wametoka makazini
Na tangu zamani tulikuwa tunasikiliza bunge kupitia RTD kwa design hii, tena ilikuwa saa 3:30 usiku baada ya kipindi cha majira, na wabunge maarufu akina Ntuntemeke Sanga, akina Kimbau, n.k tuliwasikia na kuelewa.
 
Hata mm sioni faida ya lile jengo la bunge kule dodoma. Bora wabomoe tu ili wabunge wabaki majimboni kwao na wananchi
 
Kubana matumizi kwa mambo ya msingi ni upuuzi! Ni sawa na baba aiambie familia yake watoto waache shule ili tubane matumizi, itakuwa kichekesho!
 
Wakalipie wenyewe hizo 4 bilioni waonyeshwe live,serikali inabana matumizi ihudumie wananchi vizuri
 
Kwan lengo si ni kupata habar? Tbcfm inarusha hewani,.... Mtaisoma namba kwa kipindi hichi cha miaka 10,... MAGUFURI sio Kikwete nyambafu zenu
 
NAPATA KUELEWA WABUNGE HAWAJUI WANANCHI WAO WALIOWACHANGUA WANATAKA NINI ,NA NDO MAANA WANAPAMBANA KWA NGUVU ZOTE KUONEKANA TBC LKN LAKINI HAWAPAMBANI TBC HIYO HIYO KUWAONYESHA WAKIFANYA MIRADI YA MAENDELEO MAJIMBONI KWAO,
NAWAPA MFANO WA MTU ALITEFANIKIWA SANA JIMBONI

MAREHEMU LUNJOMBE ALIPAMBANA SANA TBC KUMUONYESHA AKISHIRIKI MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE NA KUPATA HESHIMA KUBWA KURIKO WANATAKA KUONEKANA TBC NA KUISHI DR WAKIFANYA MAMBO YAO,
Sasa hivi nimeamini kuwa wewe siyo mtanzania
 
Hapo sio suala la kuonekana live, kanuni na katiba zimezingatiwa? Nchi ikienda kwa kadri kikundi au mtu anavyojisikia haitatawalika, ndio maana tunakatiba na sheria.

Wengi wetu hatuipendi sheria ya adhabu ya kifo, ila inatekelezwa kwa sababu kanuni na katiba hazijabadilishwa inabidi zifuatwe. Kama katiba inataja haki ya kupata habari, kwa nini wabunge wanyamaze?
Tbc fm inarusha sikiliza hyo kwani lazima uone live alafu ukitaka kuona picha utaangalia marudio usiku
 
NAWAKUMBUSHA WABUNGE DEO LUNJOMBE UMAARUFU WAKE HAKUUPATA BUNGENI KWA KUONEKANA LIVE NA TBC BALI ALIITUMIA TBC KUONYESHA MIRADI YA MAENDELEO ALIYOKUWA ANAFANYA JIMBONI KWAKE KWA FAIDA YA WANANCHI WAKE MASIKINI NA KUPATA HESHIMA KUBWA SANA,WABUNGE JIFUNZE KUTOKA KWAKE MSITEGEME KUISHI DAR MNAFANYA MAMBO YENU ILI KUPATA SIFA KURIKO KWENDA MAJIMBONI KWENU,
 
Kwani nini mnachoficha kisionekane?
Kwanini mnatumia nguvu nyingi kuziba live coverage?
 
Back
Top Bottom