hahaaha Mjinga ni wewe na kizazi chote cha ukawa Hoja za Msingi za kutetea wananchi waliowachagua ziko nyingi sana iweje mnapigania hoja muonyeshwe kkwenye TV. hicho ndicho mlichotumwa na Watanzania?tazameni jinga hili!
Hiyo itakuwa ni assumption..kwani wabunge watazuiliwa kujadili ikiwa TBC haioneshi live?hiyo ni nguvu ya msoga escrow isijadiliwe laivu
1. billion 4 kwa kuwa live.
2. muda wa kazi watu kuangalia bunge
3. maadili yaonekanayo kwa waheshimiwa hawa kwa taifa
4. Bunge kurekodiwa na kuonyeshwa wakati watu wametoka makazini
hakuna cha kubana matumiz wala nini.hapo nikutaka kupitisha miswada kibabe ya kipuuz kwa kuburuza bunge.alafu tbc wapate nafas ya kuchakachua habari na kuwarushia zile zinazowapa matumain.lakin hapo hakuna hata mtu moja wa ccm anaweza kutuchambulia matumiz yatakavyobanwa kwenye issue hii.hii sasa imezidi naninashaur wakijifanya kupitisha kibabe sheria hii kama kawaida yao watanzania na taasisi za kiraia tuungane kutoka kupinga ujinga huu kwa nguvu zote.na ndio watanzania tujue ccm haina mwema hata siku moja.na lau hata akija leo malaika akiingia ccm lazma awe shetan.Si wameshatoa sababu? Halafu ningekuombs usijibu bila kusoma habari maana naona umejibu kichwa cha habari lakini hujasoma main habari
Na tangu zamani tulikuwa tunasikiliza bunge kupitia RTD kwa design hii, tena ilikuwa saa 3:30 usiku baada ya kipindi cha majira, na wabunge maarufu akina Ntuntemeke Sanga, akina Kimbau, n.k tuliwasikia na kuelewa.1. billion 4 kwa kuwa live.
2. muda wa kazi watu kuangalia bunge
3. maadili yaonekanayo kwa waheshimiwa hawa kwa taifa
4. Bunge kurekodiwa na kuonyeshwa wakati watu wametoka makazini
Sasa hivi nimeamini kuwa wewe siyo mtanzaniaNAPATA KUELEWA WABUNGE HAWAJUI WANANCHI WAO WALIOWACHANGUA WANATAKA NINI ,NA NDO MAANA WANAPAMBANA KWA NGUVU ZOTE KUONEKANA TBC LKN LAKINI HAWAPAMBANI TBC HIYO HIYO KUWAONYESHA WAKIFANYA MIRADI YA MAENDELEO MAJIMBONI KWAO,
NAWAPA MFANO WA MTU ALITEFANIKIWA SANA JIMBONI
MAREHEMU LUNJOMBE ALIPAMBANA SANA TBC KUMUONYESHA AKISHIRIKI MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE NA KUPATA HESHIMA KUBWA KURIKO WANATAKA KUONEKANA TBC NA KUISHI DR WAKIFANYA MAMBO YAO,
Tbc fm inarusha sikiliza hyo kwani lazima uone live alafu ukitaka kuona picha utaangalia marudio usikuHapo sio suala la kuonekana live, kanuni na katiba zimezingatiwa? Nchi ikienda kwa kadri kikundi au mtu anavyojisikia haitatawalika, ndio maana tunakatiba na sheria.
Wengi wetu hatuipendi sheria ya adhabu ya kifo, ila inatekelezwa kwa sababu kanuni na katiba hazijabadilishwa inabidi zifuatwe. Kama katiba inataja haki ya kupata habari, kwa nini wabunge wanyamaze?