Kama tabia za Wapinzani ni hizi, bora tusione kabisa Bunge

Nimeshangaa kuona wabunge wanapoteza muda kujadili hili swala. Kwa wananchi wa kawaida hii siyo issue muhimu. Kama serikali imesema inataka kubana matumizi nilidhani waheshimiwa wabunge wangeunga mkono.

Wengine watasema ni haki ya wananchi kufuatilia mijadala na mimi naungana nao lakini je serikali si imesema TBC watarecord na kutuonyesha baadae? Kwanini wabunge wapigane? Ama kuna agenda za siri ambazo wengine hatuzijui?

Mimi ni mtanzania ninayefuatilia mabunge mengine hasa ya nchi zilizoendelea kama Uk. Wenzetu wana live coverage ya nusu saa mara moja kwa wiki na ni siku ya jumatano kuanzia saa sita mpaka saa sita na nusu. Na hii ni siku maalum ambapo Waziri mkuu anapata kipindi kinaitwa PRIME MINISTE'S QUESTION. Zaidi ya hapo labda kuwe na suala muhimu na dharula na hii ni nchi tajiri ambayo wananchi wanalipishwa kitu kinaitwa TV LICENCE. Ambao kimantiki wakiwa na mawazo kama yetu wanahaki zaidi ya kudai kuona kila kitu live maana wana ifund tv yao siyo sisi tunalipa in direct.

Cha msingi wabunge wangeisukuma serikali ikusanye mapato zaidi na hata waishauri ianze kulipisha kila mtu mwenye tv awe na leseni. Hapo kuwe na kitu kinaitwa channel ya bunge kama uk bbc parliament.

Zaidi ya hapo sioni kama serikali imekosea na tujue RAIS KASEMA AWAMU YAKE NI YA KUBANA MATUMIZI YA SERIKALI KAMA TUMESHANGILIA MAWAZIRI KUNYIMWA SAFARI ZA NJE TUSHANGILIE NA SISI KUNYIMWA LIVE COVERAGE YA BUNGE.
SEMA Mawazo Yako Tu, SIO Kuwasemea Watanzania Woote, Na Huo Utafiti Umeufanya Lini Na Wapi!!!!?? Tupatie Huo Wako Au Source Yako!! KAMA Hauna Futa Taarifa Zako Za Jikoni Humu!!!
 
Kwahiyo wananchi hatuna tena haki ya kupata information?

Hakuna kurudi nyuma, CCM wameshakuwa ma-gaidi, tukiwalegezea watafuta hata taarifa za habari!

Dawa ni kuwakomalia tu, bora bunge lichomwe moto, kuliko kukubali huu ujinga wa NAPE na wajinga wenzie!
Information utaipata kwa kupitia TBC FM LIVE, Marudio ya kipindi TBC1 na Vyombo vingine vya habari hususani Magazeti
 
Did you get my logic? Km hukua ktk mood ya kufikiria kilichoandikwa kwann usingeachana na hiyo thread?! Sidhani km nitakuwa na muda wa kujibizana hivyo!
Sasa kila mtu akiwa na mtazamo wa kususia uzi wako si utadoda, kwani we umeanzisha uzi ili iweje?? Kila mtu ana haki ya kuchangia kulingana na mtazamo wake..... We ulitaka kusoma komenti zitakazo kufurahisha tu.....ebooo!!!
 
wabunge wa ccm wanaongoza kwa kuchangia pumba sababu vichwani ni watupu,huu ni mkakati wa kuwasitiri na kujaribu kuficha ishu ya escrow ambayo lile babu liliokuwa linaongoza bunge leo lili milioni elfu moja mia saba na msoga anatumia nguvu kutoa kitanzi shingoni mwake.
 
Wewe jamaa ni muongo sana, swala LA kuonyesha baadae halipo, hayo yanakuwa edited bana.
Wadanganye watoto wako, au wewe ndio nape mwenyewe?
Tunataka tuone wabunge wetu wanavyo tuwakilisha na kujenga hoja, tuwajue wanao ongea pumba,tuwajue wanao jenga hija za msingi, ili ikifika kwenye kuwachagua tena tuwahukumu ipasavyo.
Wewe kama huoni umuhimu was live coverage ni wewe,Mimi natakanlive coverage period .
 
Badala ya kujadili ukosefu wa maji kwenye Majimbo Yao wanataka kuuza sura runingani!!! Bora tusione kabisa hili Bunge. Waziri Nape katoa Maelezo ya Serikali juu ya sababu za kutorusha live. Bado hamuelewi tu???kutumia bilioni 4 kutangaza sura za wabunge wakati watoto wanakaa chini na Akina mama wanajifungulia sakafuni ni busara kweli????????????????
 
#HapaKaziTuSuraKauzeKwaBashaWako
wabunge wa ccm wanaongoza kwa kuchangia pumba sababu vichwani ni watupu,huu ni mkakati wa kuwasitiri na kujaribu kuficha ishu ya escrow ambayo lile babu liliokuwa linaongoza bunge leo lili milioni elfu moja mia saba na msoga anatumia nguvu kutoa kitanzi shingoni mwake.
 
Kwa nini tulishwe kiporo ilihali nimelipia kununua chakula fresh? Unaisgina haki yangu ya Kikatiba na unataka mwakilishi wangu Bungeni asiongee? Wajibu wake ni nini? Kuona Serikali inavunja Katiba kisha anyamaze? Mbunge wangu ana wajibu wa kutetea maslahi yangu mpiga kura wake, ni HAKI YANGU YA KIKATIBA KUPATA HABARI NA KUITAFUTA HABARI POPOTE PALE. Ni upunguani na Upumbavu uliovuka mipaka kushabikia kila kinachofanywa na serikali hata kama kinakiuka Katiba na Sheria za nchi! Bajeti ya TBC ilipitishwa na Bunge huku moja ya gharama zake ikiwa ni coverage ya Bunge,hizo hela zinaenda wapi? Kwa ruhusa ya nani?
Tatizo ni gharama? Ni aibu kwa nchi kuminya haki za Kikatiba kwa kisingizio cha gharama ilihali nchi Imebarikiwa hadi Twiga Albino ila imegeuzwa shamba la bibi huku wananchi wake WAKILA VIWAVI kutokana na njaa. Kama Serikali imewashinda kaeni pembeni muwapishe wenye uwezo!
Pumba tupu na sijaweza kusoma andiko lako lote...acha kujaza server ya JF kama huna la maana la kuchangia.

Kwanza, hakuna mahali katiba imevunjwa...kama ni taarifa basi tutapata taarifa zote katika kipindi cha "Bungeni Leo".

Pili, Kama mnataka Bunge lirushwe LIVE nendeni TBC mkalipie gharama za kurushia matangazo LIVE...ni bilioni 4 tu kwa siku moja.

Tatu, wananchi wengi wanataka serikali ijikite kwenye kutimiza ahadi zake na sio kuona serikali inatumia pesa nyingi kwa mambo yasiyo ya kipaumbele.....bunge kurushwa LIVE ni anasa. Kama mlipa kodi sipo tayari kuona pesa yangu inatumika kufanya anasa isiyokuwa na tija yoyote kwa wananchi walio wengi.
 
Binafsi sioni kero maana huo muda wabunge wapo wanajadili wewe upo kazini unless uniambie wewe ni jobless
Elewa kuwa kazi sio zote zina fanywa saa tatu asubuhi mpaka SAA 11 jioni.
Kuonyesha usiku haina shida tatizo no editing
 
Nadhani hiyo itakuwa ni assumption..kwani wabunge watazuiwa kujadili ikiwa TBC haioneshi mkuu?
 
Badala ya kujadili ukosefu wa maji kwenye Majimbo Yao wanataka kuuza sura runingani!!! Bora tusione kabisa hili Bunge. Waziri Nape katoa Maelezo ya Serikali juu ya sababu za kutorusha live. Bado hamuelewi tu???kutumia bilioni 4 kutangaza sura za wabunge wakati watoto wanakaa chini na Akina mama wanajifungulia sakafuni ni busara kweli????????????????
We ni mse..............jaribu kujichungulia kisha tafakari pumba zako kenge wewe mkubwa,

Nchi hii sio ya kwako, baba yako, mama yako wala mjomba wako, ni ya Watanzania wote
Huna hata soni??.
Nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa sheria, katiba na kanuni....
Alafu ukurupuka "nyoko nyoko nyoko...."
soma katiba yako vizr Ibara ya 18 kifungu kidogo A mpaka D then uje tena, kuku wewe??
 
TBC ilikuwa imebakiza umaarufu tu kwa kuonyesha Bunge live. Hii nayo wamenyang'anywa, sijui watabaki na kipindi gani kitakachokuwa maarufu na kuiinua!
 
mleta uzi nae akili zake anazijua mwenyewe,si amini hadi humu Jf kuna watu wa a
Majinga sana. Unakumbuka hata kwenye mjadala wa katiba walikosa mambo mazuri sana yakiwemo ya kuhoji matokeo mahakamani kwa kung'ang'ania serikali 3 hadi wakatoka nje ya bunge! na sasa eti ishu ya live tbc nayo inakuwa ni.chanzo cha vurugu huku kila siku wanaiponda tbc .
Mkuu tatizo si kuiponda TBC,kumbuka matangazo yote ya live kutoka bungeni station zingine zinachukua matangazo moja kwa moja kutoka TBC.unapoikatalia TBC maana yake hata Tv zingine haziwezi kurusha matangazo hayo
 
We ni mse..............jaribu kujichungulia kisha tafakari pumba zako kenge wewe mkubwa,

Nchi hii sio ya kwako, baba yako, mama yako wala mjomba wako, ni ya Watanzania wote
Huna hata soni??.
Nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa sheria, katiba na kanuni....
Alafu ukurupuka "nyoko nyoko nyoko...."
soma katiba yako vizr Ibara ya 18 kifungu kidogo A mpaka D then uje tena, kuku wewe??

Acha Matusi Nyumbu jenga hoja. Onyesha sehemu yoyote katka hiyo katiba unayoijua sehemu ambayo imetaja TV Pekee ndiyo njia ya kufikisha taarifa na ndiyo haki pekee ya kupata taarifa kwa watanzania.
 
Kw
Pumba tupu na sijaweza kusoma andiko lako lote...acha kujaza server ya JF kama huna la maana la kuchangia.

Kwanza, hakuna mahali katiba imevunjwa...kama ni taarifa basi tutapata taarifa zote katika kipindi cha "Bungeni Leo".

Pili, Kama mnataka Bunge lirushwe LIVE nendeni TBC mkalipie gharama za kurushia matangazo LIVE...ni bilioni 4 tu kwa siku moja.

Tatu, wananchi wengi wanataka serikali ijikite kwenye kutimiza ahadi zake na sio kuona serikali inatumia pesa nyingi kwa mambo yasiyo ya kipaumbele.....bunge kurushwa LIVE ni anasa. Kama mlipa kodi sipo tayari kuona pesa yangu inatumika kufanya anasa isiyokuwa na tija yoyote kwa wananchi walio wengi.
Kwanini hukuwahi kulitamka hili kabla? Kwani haya matangazo kurushwa LIVE yamenza mwaka jana? Wananchi wapewe sababu nzuri zaidi.
 
Back
Top Bottom