Kama Slogan yako ni ya 'Kazi Iendelee' kwanini Wamachinga hawana imani nawe?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Binafsi hivi majuzi tu tena nikiwa Sokoni nimekutana na Wamachinga na Wanyonge ( Masikini ) wakiwa wanasema hauna Upendo Kwao kama aliokuwa nao Mwendazake.

Nilijitahidi kukutetea kwa Nguvu zote mpaka pale nilipoona naanza Kuzungukwa nao ( kuwekwa Mtu kati ) huku Nyuso zao zikiwa na Jazba na kutumia Akili ya ziada nikawazuga kidogo na kuondoka kwani nilihisi kilichokuwa kinafuata pale ni Mimi Krav Maga kupokea Kipondo.

Hali hii ikanipelekea Kujiuliza ni Kitu gani Mwendazake aliwapa hawa Wamachinga na Wanyonge ( Masikini ) wenzangu kiasi kwamba walimuamini na kumpenda 100%, ila Kwako Wewe ni tofauti japo mara kwa mara unarejea Kauli Mbiu yako ya Kazi Iendelee na utafanya yale yale aliyokuwa akiyafanya?

Na hakuna Kitu kinachowauma kama siyo Kuwakera kwa sasa pale wakikuona kila mara upo Juu Angani kama Popo kwa Kusafiri na Ndege huku Gari ukiwa huzitaki kabisa wakati Kero zao zilizoanza Kujitokeza kama ile ya pale Stendi Mpya Mbezi Lois na hii ya Juzi ya hapo Ilala ukiwa umezinyamazia wakati Mwendazake angekuwepo angeshazitatua mara moja.

Wakati nabishana nao Sokoni nikiwa nakutetea kuna Mmoja nilimsikia akisema Tanzania sasa imempata Rais Mrembo na Mpaka Mafuta ya Kuuongeza tu Weupe wake Usoni na muonyesha Mitindo ya Mavazi. Nilitaka Kumjibu ila nilipomuangalia vizuri Mkononi nikaona ameshika Kisu cha Kuchinjia Kuku na Kuogopa kuwa huenda ningethubutu kunyanyua Mdomo wangu leo hii ama ningekuwa ICU Muhimbili au naendelea tu Kuganda na Friji za Mochwari ya Mwananyamala Hospitali.

Mama lifanyie sana Kazi hili Uaminike.
 
utateseka sana. As long as hakuna anayevujiwa haki zake, basi kazi iendelee
 
Krav Maga (Kipondo) utakiwi kuogopa serikali ingekulinda mkuuu
 
Tofauti ya mwendazake na huyu mama ni kwamba mwendazake alikuwa amewafanya wavunje utaratibu, ustarabu na kanuni. Huyu mama hayuko hivyo. Majiji na miji yanapaswa yaheshimiwe sio kila sehemu kumekuwa ni soko kwa kigezo tu cha unyonge. Kazi iendelee na utaritibu ufatwe
 
Binafsi hivi majuzi tu tena nikiwa Sokoni nimekutana na Wamachinga na Wanyonge ( Masikini ) wakiwa wanasema hauna Upendo Kwao kama aliokuwa nao Mwendazake.

Nilijitahidi kukutetea kwa Nguvu zote mpaka pale nilipoona naanza Kuzungukwa nao ( kuwekwa Mtu kati ) huku Nyuso zao zikiwa na Jazba na kutumia Akili ya ziada nikawazuga kidogo na kuondoka kwani nilihisi kilichokuwa kinafuata pale ni Mimi Krav Maga kupokea Kipondo.

Hali hii ikanipelekea Kujiuliza ni Kitu gani Mwendazake aliwapa hawa Wamachinga na Wanyonge ( Masikini ) wenzangu kiasi kwamba walimuamini na kumpenda 100%, ila Kwako Wewe ni tofauti japo mara kwa mara unarejea Kauli Mbiu yako ya Kazi Iendelee na utafanya yale yale aliyokuwa akiyafanya?

Na hakuna Kitu kinachowauma kama siyo Kuwakera kwa sasa pale wakikuona kila mara upo Juu Angani kama Popo kwa Kusafiri na Ndege huku Gari ukiwa huzitaki kabisa wakati Kero zao zilizoanza Kujitokeza kama ile ya pale Stendi Mpya Mbezi Lois na hii ya Juzi ya hapo Ilala ukiwa umezinyamazia wakati Mwendazake angekuwepo angeshazitatua mara moja.

Wakati nabishana nao Sokoni nikiwa nakutetea kuna Mmoja nilimsikia akisema Tanzania sasa imempata Rais Mrembo na Mpaka Mafuta ya Kuuongeza tu Weupe wake Usoni na muonyesha Mitindo ya Mavazi. Nilitaka Kumjibu ila nilipomuangalia vizuri Mkononi nikaona ameshika Kisu cha Kuchinjia Kuku na Kuogopa kuwa huenda ningethubutu kunyanyua Mdomo wangu leo hii ama ningekuwa ICU Muhimbili au naendelea tu Kuganda na Friji za Mochwari ya Mwananyamala Hospitali.

Mama lifanyie sana Kazi hili Uaminike.
Walalahoi ndiyo watu wa aina gani?
 
Je ni kweli mwendazake aliwapenda machinga kwa kuwaacha wafanye biashara holela kokote hata wengine kupata vilema na kufa kwa ajali za barabarani au alikuwa akilitengeneza hili bomu la wajinga wasiojua sheria za mipango miji kwa faida zake binafsi?
 
Hao wamachinga wakadekezwe na waume na wake zao.Rais wa nchi ana mambo mengi muhimu ya kufanya kwa watu wote.
Wakumbushwe pia kuwa utawala wa sheria ni Bora kuliko kila mtu akiamka anapanga ya kwake.Hii nchi ilishenda ulimwengu mwingine.Mfano sheria imetungwa na bunge kwamba mtu kuendesha chombo cha moto ni lazima awe na learning.Sasa waendesha pkpk wengi ni wavunja sheria , maajabu wabunge hao hao waliopitisha sheria hii wanalalama vitali boda boda wanapokamatwa kwa kufika sheria.Nashangaa na nitabaki kushangaa.Nchi ikiongozwa kwa taratibu za sheria tulizojiwekea kutakuwepo kuheshimiana.
 
Binafsi hivi majuzi tu tena nikiwa Sokoni nimekutana na Wamachinga na Wanyonge ( Masikini ) wakiwa wanasema hauna Upendo Kwao kama aliokuwa nao Mwendazake.

Nilijitahidi kukutetea kwa Nguvu zote mpaka pale nilipoona naanza Kuzungukwa nao ( kuwekwa Mtu kati ) huku Nyuso zao zikiwa na Jazba na kutumia Akili ya ziada nikawazuga kidogo na kuondoka kwani nilihisi kilichokuwa kinafuata pale ni Mimi Krav Maga kupokea Kipondo.

Hali hii ikanipelekea Kujiuliza ni Kitu gani Mwendazake aliwapa hawa Wamachinga na Wanyonge ( Masikini ) wenzangu kiasi kwamba walimuamini na kumpenda 100%, ila Kwako Wewe ni tofauti japo mara kwa mara unarejea Kauli Mbiu yako ya Kazi Iendelee na utafanya yale yale aliyokuwa akiyafanya?

Na hakuna Kitu kinachowauma kama siyo Kuwakera kwa sasa pale wakikuona kila mara upo Juu Angani kama Popo kwa Kusafiri na Ndege huku Gari ukiwa huzitaki kabisa wakati Kero zao zilizoanza Kujitokeza kama ile ya pale Stendi Mpya Mbezi Lois na hii ya Juzi ya hapo Ilala ukiwa umezinyamazia wakati Mwendazake angekuwepo angeshazitatua mara moja.

Wakati nabishana nao Sokoni nikiwa nakutetea kuna Mmoja nilimsikia akisema Tanzania sasa imempata Rais Mrembo na Mpaka Mafuta ya Kuuongeza tu Weupe wake Usoni na muonyesha Mitindo ya Mavazi. Nilitaka Kumjibu ila nilipomuangalia vizuri Mkononi nikaona ameshika Kisu cha Kuchinjia Kuku na Kuogopa kuwa huenda ningethubutu kunyanyua Mdomo wangu leo hii ama ningekuwa ICU Muhimbili au naendelea tu Kuganda na Friji za Mochwari ya Mwananyamala Hospitali.

Mama lifanyie sana Kazi hili Uaminike.

Je wanalipa kodi?
 
Back
Top Bottom